Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Hakuna kitu Israel hakipendi kama mvua za makombora, Israel ktk kutegemea uchumi wake kitu kikubwa ni Utalii kama inavyotegemea Z'bar, inamaana kama Hizbollah ingeliendekeza Operation zake Israel Uchumi wa Israel ungelishuka kwa kiasi flani na kieneo kile kingelikua na vita kuliko Gaza, jambo ambalo hataki litokee, ukichana na kupewa mabilioni ya hela kila mwaka Israel hana chanzo muhim chengine cha mapato cha hela zaidi ya utalii (Jerusalem) Israel hawatoapata amani mpaka dunia itaisha coz ndio wamejaaliwa vile sababu ya maeneo sio yao na wamekutana na waarabu wabishi, yaani hawatoishi kama wanavyoishi wazungu au baadhi ya nchi za Afrika na Asia
Walinikera maana kimahesabu HIZBULLAH waliupiga mwingi ila kimiundombinu wamerejeshwa sana nyuma mpaka leo.....
 
Kwanza jamaa wanasumbuliwa na stress maana wanajua muda wowote kinanuka.....
 
Lebanon forms new coalition government, though one that includes Hezbollah
Nevertheless, the United States applauded the development.
Lebanese President Michel Aoun. Credit: Wikimedia Commons.
Lebanese President Michel Aoun. Credit: Wikimedia Commons.
Republish this article
(February 1, 2019 / JNS) After nine grueling months, Lebanon has formed a unity government that includes the U.S.-designated terrorist group Hezbollah, whose allies took
 
Mwaka juzi walikimbia kambi yao,wakaacha kila kitu,wakalala mbele kwa kuhofia hezb.
Tatizo watu wengi ukileta masuala ya hizbu na ISRAEL nasikitika huyageuzia upande wa UISLAM sijui nanini nahapa hua ndio tuna miss key point kabisa

Ila ISRAEL sifa wanazompa zakijinga kabisa kwanza mwoga hajiamini kabisaaaaa.....
 
Kwa 100% kwasababu malengo yao yaliyowafanya waingie vitani waliyafanikisha kwa 100%

Pia walipigana na jeshi ambalo lina aminika kwamba halishindiki

Unaamini ISRAEL haikushindwa vita MKUU ?!
Na pia wao sio jeshi la nchi..Ni kikundi kinamiliki wabunge eachache bungeni na kinamiliki manispaa moja tuu ya South Beirut
 
Hizbullah ina Mashule zaidi ya 250, ina vyuo vikuu zaidi ya 50, wana makampuni mengi Lebanon wana miradi mengi, wana jeshi kubwa na vifaa vya kisasa, wana silaha mzito, wana wabunge, wana matajiri wengi sana, Ni watu ambao wana wafuasi wengi, jeshi lao mna wasunni, washia na wakiristo, Iran ndio baba yao
Na pia wao sio jeshi la nchi..Ni kikundi kinamiliki wabunge eachache bungeni na kinamiliki manispaa moja tuu ya South Beirut
 
Vita hivi vilitoa taswira nzuri sana ya nguvu ya Kijeshi ya Iran,mpaka leo hii Israel anamuota mu Iran.....in fact Iran is a middle East super power.
 
Mkuu rekebisha hii comment inanihusu mimi kweli?
Naona umekosea....
 
Matakwa gani ?!
Ya kuwaachia wafungwa.

Kwanini walimfukuza sasa ama kisa alisema ukweli ambao uliwauma ?!

Kama MKUU wao wamajeshi alisema kama wapigwa mpaka akafukuzwa wewe kama nani unapinga kama hawakupigwa ?!
Alitangaza huo utumbo kabla ya George W Bush na Olmert kusema chochote.
.
CDF Venance Mabeyo hawezi kutangaza Tanzania imekuwa defeated kabla ya Amiri jeshi.
 
Ya kuwaachia wafungwa.


Alitangaza huo utumbo kabla ya George W Bush na Olmert kusema chochote.
.
CDF Venance Mabeyo hawezi kutangaza Tanzania imekuwa defeated kabla ya Amiri jeshi.
Mkuu si u google tu sababu zilizopekea Hizbu kuingia vitani ?!

Busha kama nani[emoji23][emoji23][emoji23]

Yah anaweza akawa hana haki yakutangaza ila alisemea uhalisia wamambo jinsi ulivyokua japokua haikua kazi yake

Unahisi kama wangekua wameshinda hio vita najamaa kama angetangaza kama wameshinda nawakati sio kazi yake angefutwa kazi ?!

Kuna baadhi yamaswali yageuze tu MKUU unapata Majibu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…