Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Sababu ya vita ilikuwa kukomboa wafungwa sio kuifuta Israel.
Lengo lingekuwa kuifuta, wangeifuta.
Iran ana malengo yapi dhidi ya Israel?
Kwa mujibu wa uzi Hezbollah na makundi mengine waliyoshiriki walitumia missiles za wapi?
.
Sasa mbona hawaifuti inapiga kila inayemtaka? Jordan, Lebanon, Syria na kwingineko anapita kama kwake.


Lakini alipigwa mpaka akasema naachia wafungwa.
Hata kama ni Mimi yaani bora uniue ila sio kipigwa na shoga.
Abdool kavae kanzu uende masjid ukapige madufu sina cha kujadili na wewe tena.
 
PRUUUUUUUU
 
Nchi vs Wanamgambo.
Wanamgambo uchumi wao ulishuka sana.
Haki ya Mungu nimecheka sana
 
1-Kamuulize Khamenei.

2-Syria ipo pale kwa msaada wa mkubwa wa Iran na Russia
US,Israel walitaka kuangusha serikali ya Assad iwe kama Libya wamefeli baada ya Iran kuwakingia kifua.

3-Mikakati waliyonayo Iran ni mingi sana, unazungumzia upande gani?
 
Siwezi kujisumbua kusoma andiko lililoandikwa na mvaa kanzu,najua ni hisia na mihemko tu ndio imejaa.
Mkuu swala la Israel kuelezwa kushindwa keenye vita vile haliusiani na udini......Lebanon ina Wakristo wengi sana na ni washirika wa hilo kundi .....na unaposema wavaa kanzu una maana gani ili hali swala la unyanyasaji wa Israel unaktaliwa Dunia nzima??
 
Nchi vs Wanamgambo.
Wanamgambo uchumi wao ulishuka sana.
Haki ya Mungu nimecheka sana
Hakuna cha kuchekesha hapo labda uwe na matatizo ya akili, kuna kichekesho gani?
1.Al shabab inapigwa na majeshi kibao na haijafutwa.
2. Al Qaeda haijafutwa
3. ISIS haijaisha kabisa
4. Boko Haram bado ipo
5. Hamas
6. PKK
Na makundi mengine mengi, kati ya haya kuna kichekesho gani.
 
Kwamba uchumi wa Hezbollah ulishuka baada ya kupambana na wazee wa six days war.
😂😂😂😂😂😂
 
Hezbollah is generally considered the most powerful non-state actor in the world, and to be stronger than the Lebanese Army. ... The group's strategy against Israel uses rockets as offensive weaponry combined with light infantry and anti-armor units to defend their firing positions in southern Lebanon.
 
MKUU kwanza naomba ukumbuke yakwamba hapa tunaongelea vita ya 2006 ambayo ilihusisha ISRAEL na LEBANON Pia unatakiwa uelewe sababu yakuundwa kikundi cha HIZBULLAH nikipi ?!

HIZBULLAH wamekuja amawameundwa kwamalengo yakuihami LEBANON yakusinu nanijambo ambalo wamefanikiwa kwa 80% sababu mpaka sasa LEBANON yakusini Ipo Mikononi mwa HEZBOLLAH bila kipingamizi chochote

Kama wangekua wanaweza kufanya kama unavyosema wanangojea nini nakwanini hua wanapigana nao vita kwamalengo gani ?!
 

Sasa hii ni juzi tu (2019) Hiyo status Hezbollah hakuwa nayo 2006 wakati wa vita
 
Hezbollah huo uwezo ni kutoka Iran.
Asante sana.
 
After the end of the war did they remained in southern Lebanon?
 
Kwamba uchumi wa Hezbollah ulishuka baada ya kupambana na wazee wa six days war.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hezbollah sio Lebanon, ona hata kuzitofautisha huwezi. Mimi nimesema uchumi wa Lebanon wewe unasema uchumi wa Hezbollah.
 
Sio lebanon ni HIZBULLAH ila pia ndio aliefanikiwa sababu alianzisha vita kwamalengo fulani namalengo yake yote yalifanikiwa kwa 100% je ISRAEL alifanikiwa kipi katika ile vita baada yakuanzisha mashambulizi ?!


Hizbullah walikua nalengo lakuanzisha vita nawakaanzisha kwakuteka askari wa IDF ambao kwamalengo kwamba waachiliwe wafungwa wao wakombolewe nakweli mwisho wasiku walibadilishana wafungwa walokua wanawataka nawale wa ISRAEL walowakamata

ISRAEL walijibu mashambulizi kwamalengo yakuwakomboa Askari wao walotekwa je walifanikiwa kuwakomboa kabla yausitishaji vita ?! Nakama hawajafanikiwa utahesabia walifanywa nini ?!

Ikumbukwe HIZBULLAH nikagenge tu chawatu sio jeshi RASMI lataifa husika.
 
Marekani anaweza akawa anachukua mafuta SYRIA halina ubishi ila mkakati Rasmi ulikua Kumtoa Assad madarakani Nandio maana Obama na Hillary wakati wapomadarakani wakawa wanasema AL ASSAD Must Go

Hatimae mpaka sasa toka 2011 Al Assad ndio rais wa SYRIA
 
Hezbollah sio Lebanon, ona hata kuzitofautisha huwezi. Mimi nimesema uchumi wa Lebanon wewe unasema uchumi wa Hezbollah.
Utashushaje UCHUMI walebanon wakati tunaongelea ISRAEL vS HIZBULLAH hapa BOSS

Kwani vita ilihusisha serikali ya LEBNON ?!
 
Mkuu unaiongelea IRAN ama Tunaiongelea ISRAEL vs HZIBULLAH war 2006 !?

Mbna hueleweki MKUU ?!
Mashia akili zenu sijui huwa mnaweka kwenye makobaz.
.
Nini hiki? Sasa kama walifanikisha haya kwa kutumia vikundi vidooogo kwanini wasiende wao Iran front wakamalize mchezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…