Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Aisee
Serikalini internship50000? Duh kampun au?
Kuuza nyanya kwa baiskeli, hiyo baada ya ku graduate,maisha haya acheni tu
Hiyo saidia fundi nilipokuwa advance kwenye likizo zangu nilikuwa nafanya hizo kazi. Hiyo kazi pamoja na kuwa kuna dhuluma ila pia matusi ni kama kunywa maji ya baridi jangwani. Nilikua nazifanya ili kupata nauli ya kwenda shule na pocket money. Ni kazi ngumu sana ila zilinisaidia.Hii kazi niliifanya morogoro kule mvua wilayani walikua wanajenga hospital ya wilaya dadeki kazi sikua na uzoefu nayo afu nasaidia mafundi watatu asee sitokaa nisahau huu msoto kila siku nikikua nasema kesho sirudi ila kukikucha nakaza roho nilikomaa hadi nikafikisha 400000 japo pesa nyingine nilidhurumiwa na jamaa anaitwa Benjamin.
Mi pale nilienda kwa lengo la kupata pesa ya kodi niliyokua nadaiwa pamoja na madeni.
Ila nilikua nashangaa majamaa yanavyopeana connection za kazi za ujenzi najiuliza hivi hawa jamaa wanapumzika lini.
Serikalini internship
Ilikuwa mjini kabisa yani na mitaani pia nazungusha na baiskeli nakutana na wana wananishangaa tu hata sina habari,ila tunashukuru Mungu saa hivi siyo haba maisha yanasonga,maisha haya yana magumu Sana asee..Duh ni maumivu ulikuwa umetembeza mtaa unaokaa.
Ahahaha1.Nilikuwa fundi vitu vya umeme wa kunjunga kwenye office ya mshkaji pale River side, sikustukiwa na wateja kwakuwa mshkaji alikuwepo muda wote, kuna siku akaniachia office akaenda kariakoo kufuata spare, akaja mteja na pasi yake ya Phillips regulator ilikuwa ngumu kidogo kwenye kuzungusha
Nikajitia bingwa nikaforce ikavunjika, nikapambana nikaifungua pasi nikaibana ile regulator na wire kisha nikairudishia. Mwenye pasi akakuta ndio namalizia.. Ile kutest kwenye umeme lilipiga bonge la shot, mimi kule pasi kule mteja mbio[emoji24][emoji23]
Nikatimuliwa nisionekane tena pale jamaa akaingia hasara ya kulipa pasi
2. Kitaa kikawa kigumu mno. Siku moja nikatembea mpaka Mugabe Sinza, nikakuta mchina anafungua duka la dawa! Nikajifanya mimi mfamasia nikapata kazi
Kuna siku nimeachwa peke yangu akaja mdada mwanae ana pumu kali sana nikamwandikia dozi dokta uchwara mimi. Kumbe sikumpa ya pumu bali ya kushusha pressure.. Mtoto wa watu aliponea tundu la sindano kurudisha number.. Na siku hiyo ndio ilikuwa ya mwisho kuitwa dokta, nilitimuliwa kazi
Nasubiria story yako mkuu GlennI see
Dah ulijivyatua mzee..Ilikuwa mjini kabisa yani na mitaani pia nazungusha na baiskeli nakutana na wana wananishangaa tu hata sina habari,ila tunashukuru Mungu saa hivi siyo haba maisha yanasonga,maisha haya yana magumu Sana asee..