mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 760
- 1,037
Kama udalali,ukianza huwezi achaNa kwanini mtu akianza wizi kuacha inakuwa shida?
Kama udalali,ukianza huwezi achaNa kwanini mtu akianza wizi kuacha inakuwa shida?
Hii kazi kuna mwanangu mmoja mitaa ya Manzese alizimia.Freelancer wa tigo miaka ya 2008 dah nikua natembea balaa
Tucheke kama mazuri ila iyo kaz ciyo mchezo unatembea hatar afu kwa mjin ni kaz ngumu sana mpaka mtu anunue line afu awe anatumia ndo utapta commission mwsh wa mwez.yan hata hela ya kula una aisee.Hii kazi kuna mwanangu mmoja mitaa ya Manzese alizimia.
Mkuu mbona ata wakubwa wana katwa Vimeo waswahili wanasema kisopo katwa kinasababisha upungufu wa damuSensor kwenye koromeo ukipanua mdomo utakiona, ndio husababisha kupaliwa
Zamani Uswazi pengine hata sasa watoto walikuwa hawazingatiwi afya na usafi hivyo kuugua minyoo sana.. Sasa minyoo ikipanda kifuani na kutaka kutoka nje inakutana na kimeo na mtoto kukohoa
Kwa ukosefu wa maarifa waganga njaa wakawa wanavikata vimeo
Njaa haina rafikiNikiwa na degree yng.
Niliosha magari mbezi na sku zngn wakawa hawanilipi. Nashnda bila kula nikrudi home sina hela mwanamke anavuta mdomo ananisimanga, ananichukia hapo nina njaa kali nimeshnda kutwa nzma bila na nalala bila kula.
Nimechoma mahindi mbezi
SITASAHAU KBS MAISHA HAYA.
Kwani kuuza nyanya mtaa unaokaa ni kosa ?Duh ni maumivu ulikuwa umetembeza mtaa unaokaa.
True!!! Nawaona vijana wanasota hapa muda huu Mkonze (hapa ni karibu na HQ za TRC)Kusaidia fundi ujenzi😭😭😭 aiseee! Nilisulubika sana. Kuchanganya zege kupandisha tofali.
Malipo ni 7000/= per day ( from 7 am to 5:30pm)
Nilifanya kazi siku tatu nikaacha.
Nikarudi katika ufundi pikipiki.
Nikamwomba Mungu sana, hamadi! Nikapata kazi sehemu....!
Ujenzi ni kazi ngumu na yenye jasho kupita maelezo.
Na aliyekupeleka shule hadi unaandika viingereza ni nani kama sio yeye?Niliwahi kuuza mishikaki tuseme sio. Mishikaki ni 'nemba' yaani ni ngozi zile nyama zilizobaki zinachunwa na nilikua na miaka 13 tu nahitaji kuwa nyumbani bado mdogo nimelala ( mzee wangu mimi na wewe ' we have a score to settle).Nahangaika mavilabuni ya pombe za kienyeji kila siku usiku .Na yeye yupo.
Nimechagua kukupuuza fanya mambo yako.Na aliyekupeleka shule hadi unaandika viingereza ni nani kama sio yeye?
Kuwa na adabu na hamna kitu unaweza mfanya
Huyo mwanamke bado unaishi naye ?Nikiwa na degree yng.
Niliosha magari mbezi na sku zngn wakawa hawanilipi. Nashnda bila kula nikrudi home sina hela mwanamke anavuta mdomo ananisimanga, ananichukia hapo nina njaa kali nimeshnda kutwa nzma bila na nalala bila kula.
Nimechoma mahindi mbezi
SITASAHAU KBS MAISHA HAYA.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata muda wa kulala unakimbia Mwendo wa ngiri mkia juu
Tulishindwana so ana maisha yake sasa yapata miaka 5 toka tumeachanaHuyo mwanamke bado unaishi naye ?
Mid June 2021 nilikuwa nategemea kupata mtoto pia na hali ilikuwa mbaya sana..the struggle was real sitakaa nisahau ila now namshukuru MunguNami niandike machache. Mwezi wa pili
Mwaka 2021 wife alikua mjamzito, tukiwa tunatarajia mtoto in middle of 2021 sina hata mia ya akiba, mazaga yanayohitajika ni mengi mno. Jamaa yangu mmoja akaniita Arusha kwamba kuna kazi ni mimi tu na nguvu, nikauza baadhi ya accessories zangu, nikapata nauli nikaenda. Eebwana ee, kumbe ni machimbo ya Moramu na Kwaru, siku nzina nacheza na beleshi (koleo) na sululu, nilikonda, ilifika hatua nikaacha kusimamisha.
Vidonda vinatoka mikononi vinakauka, life ghali, unapata buku 7 unakula 3000. Daily nanunua ant-pains. Dah, it was hard times kwangu.
Mwezi wa 5, nikapata issue as online freelancer, mambo yakachanganya hadi sasa hela ya kula sikosi, familia haipauki. Mungu ni mwema. Sema wazee, watu wanateseka hii nchi.
Hongera mkuu! Mungu ni mwema sana.Mid June 2021 nilikuwa nategemea kupata mtoto pia na hali ilikuwa mbaya sana..the struggle was real sitakaa nisahau ila now namshukuru Mungu
Kusaidia fundi ujenzi[emoji24][emoji24][emoji24] aiseee! Nilisulubika sana. Kuchanganya zege kupandisha tofali.
Malipo ni 7000/= per day ( from 7 am to 5:30pm)
Nilifanya kazi siku tatu nikaacha.
Nikarudi katika ufundi pikipiki.
Nikamwomba Mungu sana, hamadi! Nikapata kazi sehemu....!
Ujenzi ni kazi ngumu na yenye jasho kupita maelezo.
Kuna maana yoyote kiroho kukata kimeo mkuu??Uganga wa kienyeji na kupiga ramli, mkata vimeo na ngariba
Duh hii hatari sanaSensor kwenye koromeo ukipanua mdomo utakiona, ndio husababisha kupaliwa
Zamani Uswazi pengine hata sasa watoto walikuwa hawazingatiwi afya na usafi hivyo kuugua minyoo sana.. Sasa minyoo ikipanda kifuani na kutaka kutoka nje inakutana na kimeo na mtoto kukohoa
Kwa ukosefu wa maarifa waganga njaa wakawa wanavikata vimeo
Naomba unijuze kuhusu freelancer, mana nmejiunga juzi nmepata kazi lkn mshahara ni mkubwa kiasi nahisi jamaa anataka kunizunguka.Nami niandike machache. Mwezi wa pili