Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Network Fiber zilikua zinaenda mikoani sasa kukawa na kuchimba ile mitaro pembeni ya barabara. Hapo nimetoka tu kumaliza chuo.
Nilichofanya nikaona hapa kitaa jau, nikawa naenda mbali kama kilometa 10+ ndio napiga kazi kuanzia 7am to 6pm hivi.
Ile kazi ngumu hafu malipo mtu anajiamulia tu kiasi na akulipe lini.
Nilienda pia Mufindi kwenye mashamba ya chai. Aisee, kule kazi zipo ata leo ukienda zipo. Sana sana za kuchuma chai na kumwagilia. Ila malipo yake dah acha tu.
Nilivyomaliza form 6 pia nilipiga ile kufundisha shule za kata. Hafu yule headmistress alikua analipa 90k kwa mwezi. Sema ndio ivyo mikoani life cheap tulisavaivu.