mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Hilo lijomba lako nalo ni likenge na lipumbavu tuPole sana.!
Kuna Mjomba wangu amefiwa na Mke wake na mama yake mzazi ni miaka 10 sasa imepita naye huwa anakili hivyo ni heri mzazi kuliko Mke.!
Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa bila upendo: wanaume ni tofauti wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mapenzi ya dhati. Ni kwa sababu hiyo upo sahihi kabisa kuwa wanawake wapo tayari kumpoteza mumee kuliko mzazi : baadhi yao wanenda mbali hadi kuharakisha au kufanikisha vifo vya wanaume wao.Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Wake zetu hawana uchungu na wanaume zao hilo linajulikana , tena wengine hadi wanafanikisha vifo vya waume zao kwa namna moja au nyingine.Sema basi lkn nilitaka nikwambie hivi;
Hivi km mkeo angekuwepo ukamwambia afanye uchaguzi wa kumuua mtu mmoja kati ya mzazi wake ama wewe mmewe unadhani angelimchagua nani?
Nafikiri ukishaoa/olewa na kupata watoto na muda umeshapita basi kifo cha mke/mme kinakuwa kizito kuliko cha mzazi wako. Uzoefu mwingi unaonesha hivyo.Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Easier said than done.Pole mkuu,
Just agree ishatokea.
Wewe move on.
Pole sana.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Ni mgane huyu.Pole sana mjane
Inauma sana
Kwa ambao hawajaoa hawataweza kukuelewa watakudhihaki tu hapa ila mimi nimekuelewa ni jangwani unapita kaka soon utafika caanan.. mke/mume akifariki ni mzigo mzito maumivu yake si mchezo kabisa.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Mkuu km kufiwa na mzaz ufiwe ww usitujumuishe na sisi2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Sio kufiwa na mume au mke Tu, iweke hivi, "Kufiwa na mume/mke mnayependana Sana"2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Ona hii ng'ombeWake zetu hawana uchungu na wanaume zao hilo linajulikana , tena wengine hadi wanafanikisha vifo vya waume zao kwa namna moja au nyingine.
Wanaume wanapenda kwa dhati ,wanawake wanapenda kwa nafasi . Ndo maana majumba yetu yanajaa ndugu wa mke tu.
Ona hii kondoo2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Mkuu, you have nailed it all...Amka mkuu kumekucha.
Yaani ktk ulimwengu huu huu unadiriki kusema ni kheri ufiwe na....kuliko kufiwa....?
Huu mlinganyo wako kwa upande wangu siyo sahili.
Kifo kisikie mbaaaali na siyo kufiwa na yeyote wa karibu nawe iwe ni ukaribu wa damu ama uhusiano wa kirafiki (mahusiano).
Pengo linalo achwa na mwanadamu kutokana na umauti halizibiki.
Ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia, jadili kwa hoja sio matusiOna hii ng'ombe
Shida ni kuwa huja kubali kuwa kaenda... Kwa muda uliokaa.. Ungekubali ungeshamove on.... Nakushauri kubali yeye kawahi ila sote tuko bado njian... Lea watoto ukiwaaminisha kuwa kila mwanadamu atafikwa na umauti... Na wao wa kubali ili baadae wasije Pata na so oni nk.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.