Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Alikua mzuri!?
 
Nishahonga sana, ujanani huko tulikuwa tunaamini kumpa mwanamke pesa ni kuonyesha true love.
 
Hapo ilitakiwa akuachie elfu 5 ya chakula mchana, au angechukua tu zote pesa ya kula utatafuta we mwanaume huwezi kukosa..!! 😹😹
Haki ya nani hufai hata kwa kurumangia. Ila nashukuru angalau alinifinyia kwa ndani. Na ilikuwa mara yangu ya kwanza. Kwa hiyo tunaweza kusema kuwa hiyo laki tano ilienda kihalali 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…