Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Huo ndo ukweli.
Kuna wakati zile B-2 Bombers zilienda kusambaratisha mradi wa nukes wa Iran, Ayatollah akahamishia makazi ndani ya shimoni kukwepa kuwahishwa kwa bikra 72 kama majenerali wake, afu unashangaa mtu anabana pua kwamba Iran itachakaza US !!
 
Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
umetaja Egypt nikakumbuka kuwa kuna Nchi za Africa hasa kaskazini watu ambao ni wajuaji ILA hawaja wahi kukanyaga Nje ya Tanzania wanazichukulia poa....
mfano; Egypt, Tunisia, Morocco, Algeria, Seychelles, Mauritius & South Africa na hata Libya kabla ya kuvamiwa na mamluki; Hizo nchi maendeleo yake ni kama Ulaya ni vile tu zipo Africa; ndio sababu hazitajwi tajwi

Nafikiri ulishudia kombe la Africa Moroco hivi majuzi; Viwanja zaidi ya 11 vya hadhi ya kimataifa.
Infrastructure ya 1st world...match mbili zinachezwa kwa pamoja mji mmoja na zikiisha ndani ya lisaa; watu wote wameshaishia majumbani na mahotelini....ingekuwa ni East Africa watu 80,000 wangeweza kusafiri hadi asubuhi...

Miji yao imepangwa ikapangika sio huku kwetu miji ipo kama taka taka.....mwenye hela ana amua kujenga li gorofa la flat 10 mjini halina parking; Petrol station kama uyoga mjini kati nk nk Aibu kwa mipango miji ya kwetu!!!
 
Nani aliomba cease fire ya ile vita? Kuna mahali popote Iran alisurrender?
 
Ukubwa wa jeshi na wingi wa zana siyo kushinda vita! Ni uhodari na ujasiri wa askari.
NATO ikiongozwa na US imepigana na Afghanstan miaka 21 mwisho ikaamua kukimbia.
US ilikimbia Vietnam miaka ile ya 70!
Iran bado ni imara,kama ingekuwa dhaifu tayari Ayatollah angekuwa ameshakimbia.
 
Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
Wewe mbulula umeongea utumbo tu humu kama kawaida
Vita ya kishoga ya dondosha mabomu, unadhani vita inapiganwa kipunga punga

Wavietnamu waliingia underground kwenye rat tunnell ndani msitu mnene, hakuna cha satellite wala kamera za ndege ziliona, alivyoingia ground alikula kibano mna kufungasha virago.



Kaenda Afghanistani uwanja mweupe, hakuna miti wala mapori, alikuw anawindwa usiku usiku mpaka akafunga virago na kuzikimbia silaha zake silaha zake zinazokufanya unaloa na kumuona basha wako mpendwa

Hizi zote kazikimbia, Talebani kajichukulia kiulani



 
Nani aliomba cease fire ya ile vita? Kuna mahali popote Iran alisurrender?
Ujinga mtupu unatumia NENO ceasefire kujifariji na kujipa moyo kuficha kuuliwa kwa mafias waandamizi katika Jeshi la Iran, waliuwawa kama kuku akiwemo Mkuu wa Majeshi hilo wewe hulioni kuwa linadhibitisha u hovyo wa Jeshi la Iran.

Angalia hapa chini uone mizoga ya makamanda wa Iran waliouwawa kama kuku na majeshi hodari ya Israel na katika vita hiyo ya siku 12 zaidi ya wairan 1,000 waliuwawa na hakuna askari hata mmoja wa Israel aliyeuwawa hayo yote wewe Bumunda huyaoni!!!
 

Attachments

  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 30
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 28
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 25
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 29
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 27
  • IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 27
  • IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 26
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 31
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 26
  • IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 27
  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 28
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 31
Acha kujitoa ufahamu na kuanza kuwadanganya wafuga midevu na majini wenzako hizo silaha walipewa Taleban na Marekani watumie!!

View: https://x.com/reallegendafg/status/1958217968556667112?s=61
 
Kwanini marekani wanataka irani iachane na program zake za makombola?
Iran toka 1979 imekuwa na nia ovu ya kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia na mawao hayo mabaya wamekuwa wakiyasema hadharani na bila kificho na walikuwa wakitamba sana.

Kwa hali hiyo Iran ikawa imekosa sifa za kuwa na sifa ya kuwa na silaha za masafa marefu au Nuclear maana ana nia ovu!!
 
Nani aliomba cease fire ya ile vita? Kuna mahali popote Iran alisurrender?
Irani ilishapigika ikawa inakimbia kama mbwa kicha ikipiga piga mabomu bila mpangilio. Wenzao walikula vichwa vya viongozi wao kama wamama wanavyoondoa vichwa vya dagaa wa mwanza. Na kwenda kulipua maeneo yaliyokuwa na vinu vya kinyuklia.

Iran alishindwa kwa aibu. Nimejaribu sana kumtetea Irani lakini nimeishia kupata aibu. Wale mademu wa Kizayuni wameingia Irani na kwenda piga kama wanavyoingia washroom na kutoka.
 

Mkuu hawa ni viongozi waliopo sasa Irani. Hawa sasa watamshinda Muisrael na watamuua Netanyau. Nimewaona sura za kazi hizi. Nadhanii na zitto junior hawa anawakubali
 
Unaonyesha akili zako ni sawa na za Wafuga Midevu na Majini!! Marekani imekaa Afghanstan kimkakati si kuwa miaka yote zaidi ya 20 ilikuwa inapigana!!

Marekani imekuwa huko kama mtawala na imeweza kusimamia mabadirishano ya marais kadhaa huko kwa hiyo ni kutokujua tu ndiko kunaweza kuwafanya wengine waelewe kuwa Marekani ilikuwa vitani huko.

Marekani kipindi chote huko haikuwa vitani na ndiyo maana wakati wanatoka waliwaachia vifaa vya kijeshi maana walikuwa na uwezo wa kuondoka navyo au kuviteketeza kabisa au kuvisafirisha kwenda nchi marafiki bila shida yoyote.

Marekani waliondoa vikosi vyao huko baada ya kuona nia yao ya askari wao kuwepo huko haipo tena!!!! ** Mabumunda** tu kama wewe ndiyo wanaamini marekani wamekimbia Afghanstan.
 
Jibu swali, Iran aliomba cease fire?

Hivi unajua Israel iliishiwa interceptors na ikabidi waombe ceasefire ili ku regroup?

Mind you Iran ilikua inapambana na Israel, Saudia, Jordan, US, UK, France ambao walikua busy ku intercept rockets za Tehran.
 
Nashangaa nimeku ignore ila kuna jitu limenitag kwa nyuzi zako!!

Wewe hunaga akili hao Pakistan wanaichukia Israel kuliko Iran na wanasema wanaitambua palestina kama taifa huru

Cha ajabua wanazalisha na kumiliki nuclear bombs mbona sisikii USA ikisema waache kisa ni tishio kwa Israel.

Unajua we jamaa kabishane na la saba wenzako I'm not your match so stop quoting me. Hujui lolote kuhusu nuclear powers alafu kuokoteza visababu vya kujustify ujinga wa Israel.

Enhee vipi kuhusu Epstein jausi wa Mossad na hao wayahudi kina Ghislaine Maxwell waliokua wanavilawiti vitoto vya miaka 10 nayo ni sababu vinatishia usalama wa Israel?

Embicile
 
Kwa hali hiyo Iran ikawa imekosa sifa za kuwa na sifa ya kuwa na silaha za masafa marefu au Nuclear maana ana nia ovu
Eti imekosa sifa? Anayetoa hizo sifa ni nani? Mbona North Korea inatishia kuifuta sio tu South Korea ila kurusha kombora mpaka marekani vipi hawajakosa sifa hadi leo wanazalisha na hawajavamiwa??

We jamaa ni lijinga na tatizo shule hauna. Unaamini Israel na US wana hatimiliki ya dunia na wapo sahihi. Kipindi makaburu wa South Africa wanateketeza watu weusi huko Afrika kusini walikuwa wanaunda nuclear energy ili watengeneze bomu la kujilinda dhidi ya watu weusi huko mbele. Ni Israel iliwapa teknolojia na support yote ya kuunda silaha za kuangamiza watu weusi.

Vipi na hao South Africa walikua na "sifa" za kutengeneza nuclear au unakosa sifa tu ukitishia wayahudi pekee na sio watu weusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…