Ni kichaa pekee anaweza kulinganisha uwezo wa Iran na Marekani kivita

Huna akili wewe, nani aliyekuambia ukiua majenerali ndio umeshinda vita? Hata Hitler aliua warusi zaidi ya million 20 ila bado Russia ilishinda vita!!

Hata Vietnam walikufa mamilion ilihali USA ilipoteza askari maelfu kadhaa tu ila Mbona Vietnam alitangazwa mshindi. Same to CUBA na North Korea kote walikufa wengi ila walishinda vita dhidi ya USA.

Dogo hujui lolote ndio maana nakwambia kabishane na la saba wenzio achaga kuni quote mpuuzi wewe.
 

Daaah.... Unawezaje kumu ignore jamaa ana madini mazuri hivi ingawa si wa imani yetu? Uwe unajifunza tu usiweke chuki sheikh wangu. Sisi sote ni waumbwa.
 

Wewe umepunguza Idadi 🤣🤣🤣 sheikh Kitinku anasema Irani ilikuwa inapambana na Iraq, uk, usa, norway, france, egypt, saudia, ukraine, germany... Na nchi nyingine nimezisahau. Ni list kubwa alikuwa anataja kuwa tuandike tu tunawatajia watu. Naona wewe umebeba hivyo hivyo....
 
Daaah.... Unawezaje kumu ignore jamaa ana madini mazuri hivi ingawa si wa imani yetu? Uwe unajifunza tu usiweke chuki sheikh wangu. Sisi sote ni waumbwa.
Ana madini gani huyo la saba, hata nikimuuliza tu chama cha Netanyahu kinaitwaje na Rais wa Israel ni nani hamjui!! Yeye hapo anaamini Netanyahu ndio Rais hahahah.

Mie sio sheikh, ni mlokole kabisa wa FPCT ila Israel ni big NO.
 
Ana madini gani huyo la saba, hata nikimuuliza tu chama cha Netanyahu kinaitwaje na Rais wa Israel ni nani hamjui!! Yeye hapo anaamini Netanyahu ndio Rais hahahah.

Mie sio sheikh, ni mlokole kabisa wa FPCT ila Israel ni big NO.

Huwa hata mimi nawaambia watu ni Mlokole wa TAG. yaani mimi na wewe tunafanana sana mambo yetu. 🤣
 
Kwani ni uongo? Nchi za NATO zilihusika pia kwenye interception ya makombora kutoka Tehran otherwise Israel ingebaki majivu kama Gaza.

 
Katafute kitabu kinachoitwa animal farmer. Katika nafasi ya mnyama nguruwe muweke USA. Utapata picha mchezo anaoucheza marekani ktk hii dunia
 
🤣🤣🤣🤣 NYIE JAMAA SHULE HUWA HAMPENDI NA MKIENDA HAIWAFUNGUI. HALAFU UMESAHAU KUWA ULIDAI NAWE NI KAFIR. NADHANI DUNIA NZIMA ILIKUWA INAPAMBANA NA IRAN. SHEIKH KITINKU HUWA ANAWADANGANYA SANA
Nimekuwekea link si usome? Tena ni gazeti la pro-western.

Kama ni shule mie ninayo ndio maana sio wewe wala Echolima1 wanaoweza kujibu hoja zangu. Hata hiyo link hujaifungua sababu lugha haipandi.

Kingine mimi sio sheikh ni kafiri ila sio mjinga kama nyie mnaosupport Israel kisa tu imetajwa kwenye Bible. Wale waliopo pale tel aviv sio wale kwenye Bible ndio maana hawamuamini Yesu, wanachinja watoto Gaza, na ndio kitovu cha ushoga duniani.
 
Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
Kabisa kama Israel ilikuwa kila siku inaamka Asubuhi inaenda kupiga Iran na wanarudi basi ujue Uwezo wa Iran ni mdogo sana
 

Yaani mimi na wewe tunafanana saba kwa hizi tabia kuanzia leo we utakuwa mdogo wangu. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukishaona emojis zinakuwa nyingi, basi jua unainteract na ZUZU AKA DEBE TUPU!
 
Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
Vinavyoharibu uwezo wenu wa kufikiri ni vitu viwili:
1. Hollywood movies
2. American propaganda.

Dunia ya sasa bila kuwa na uwezo wa kufikiri nje ya Box, nyeupe utaaminishwa nyekundu.
🙏
 
SIJUI MAMBO YA SIASA WALA VITA NA SIFAUTILII

NINACHOJUA YESU AMESHUHUDIA KWA UFUNUO KUWA.
NCHI YA IRANI INAMILIKI SILAHA AMBAZO HAKUNA NCHI YEYOTE DINIANI YENYE NAZO

AMBAZO HATARI ZAIDI DUNIANI ZENYE UWEZO WA UHARIBIFU MKUBWA ZAIDI KWA SEHEMU KUBWA YA DUNIA HII

AMBAPO YESU AMESEMA
HATARUHUSU NCHI YA IRANI IZITUMIE SILAHA HIZI HATARI ZAIDI DUNIANI
KABLA HAJANYAKUA WATAKATIFU

WAKE WALIOPO HAI HAPA DUNIANI

HIZO ZITATUMIKA BAADA YA UNYAKUO(LABDA).

UNYAAKUO WA KANISA (WATAKATIFU WALIOPO DUNIANI)UTATOKEA KABLA YA 2030.

ni kama ndani ya miaka hii 2-3 ..muda umeshafika

Mtakatifu na azidi kutakaswa,tuyafue mavazi yetu yawe meupe.
 
Jamaa huwa ni mchambuzi mzuri shida katika mada hiyo mahaba yamemtawala zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…