Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

Kwani kuingiza maloli nhini ni makosa? Maana sijaona ulipotaja kosa lake huyo tajiri..
 
Hizo gari zimepeleka mbolea .cement .drc mzigo wa kutosha. Na zinarudi na colbat za kutosha zaidi
Ni za huyo Kiongozi wako na aliziingiza 500 ila sasa zilizoko Kazini ( Barabarani ) ni 300 na 200 basi zinasubiri Kupangiwa Ruti.

Hivi nikienda China tarehe 2 Novemba na kurejea nchini Tanzania tarehe 4 Novemba kwa mliosafiri huko naweza kutakiwa kuwa na Kiasi gani ( Shilingi ngapi ) cha Matumizi kwani nataka kwenda huko Kibiashara.
 
Pumbafu ila daah basi tu jana nilikuwa ushirombo karibu na bango la kanisa la Nyumba ya mkate yamepita kama 45 hivi yamefuatana nikabaki nasonya tu huku naelekea kanisani Mungu atufurahishe kama alivyo tufurahisha 9. 21 20.3
Mkuu nilikua hapo Kilima hewa Ushirombo.
 
Mzee anisamehe Tu Huko Aliko kwasababu pengo lake SASA ndiyo naliona kabisaa!!!! Tulikuwa tunamkataa kipindi yupo hai Ila umuhimu wake unaonekana
mi nataka hii hali iendelee hiivi au izidi, maana nyinyi watz maskini mlikuwa mnafuata mkumbo pasi kutumia akili. sasa watu wanalamba asali mnabaki kupiga kelele. sasa hamna maji wala umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…