Umeandika utafikiri unaushahidi wa kutosha jinsi gani anapiga hizo hela za watanzania?Kadiri siku zinavyozidi kusogea ndipo Ile picha ya Mzee marehemu kweli kuna watu wamesababisha kifo chake...hata Mimi napata picha kuwa MZEE SMILING NI MUUAJI MKUU WA MZEE WETU maana jinsi anavyopiga hela za watanzania ni dhahiri huyu Mzee kuna namna alifanya
Nimehakikishiwa na Mmoja wa Watendaji wa Juu ( tena Mwanamke ) kuwa ni za Kiongozi na alishauriwa na Mshauri Mr. Mswahili Tabasamu Mananasi Kwetu aweke Nembo ( Chapa ) ya Wapigaji Wenzake wenye Klabu 'inayodemadema' Kimataifa kuanzia Sudan hadi Tunisia ili Kujificha na Watanzania tusijue.hahahaha,nimekuelewa chief.hata baadhi ya madereva wanahizi tetesi za mmliki
..Nimehakikishiwa na Mmoja wa Watendaji wa Juu ( tena Mwanamke ) kuwa ni za Kiongozi na alishauriwa na Mshauri Mr. Mswahili Tabasamu Mananasi Kwetu aweke Nembo ( Chapa ) ya Wapigaji Wenzake wenye Klabu 'inayodemadema' Kimataifa kuanzia Sudan hadi Tunisia ili Kujificha na Watanzania tusijue.
Inaendelea Kwa Kasi Sana Yaani, Unajua Mwisho Watamaliza VyoteTaratibu akili zitawarudia "Kazi iendelee" pale ilipoishia
Vita Ni Kali SanaTusitegemee TRC ije kusimama, wazee wa malori hawatakubali kamwe.
Ongea na mtoa mada mkuu yeye ndiye ameona malori yote 500 kama unataka ushahid kutoka Kwangu sinaUmeandika utafikiri unaushahidi wa kutosha jinsi gani anapiga hizo hela za watanzania?
Kuna hozi gari mpya mwezi tajwa zilimwagika pale ufundi mpya ziliungwa matela ya tank za mafuta nadhani itakuwa!Inamaana SMG ni Chaka la wabadhilifu?
Ha haa,Mr smilingHuwa napenda mno Watu 'Intelligent' kama Wewe hapa JamiiForums na ambao huwa mna Akili za haraka za Kunielewa GENTAMYCINE.
Mkuu hao ( hawa ) akina MSG siyo tu Chaka la aliyeyaingiza hayo Malori 500 bali pia ni Chaka Kuu za yule Mr. Smiling Mswahili.
Endelea kumlaumu marehemu huku ukinywa na kuoga maji ya chumvi kwenye giza ....nyanokooBORA WEZI KULIKO YULE MUUAJI WA CHATLLE
Japo kuna tumaini kwa mbali na ajira kwenye malori ya masafa marefu.kwani sasa hivi wewe unapiga pia
HAKUNA LOLOTE HUYU JAMAA NI MUOTA NJOZI TU, HAKUNA HATA KIMOJA CHA UKWELI MAZUNGUMZO YA TSHISEKEDI ZAIDI YALIKUWA YA KIUCHUMI NA SI VILE MDHANIAVYO.Huyu GENTA kuna uzi mmoja nilipishana nae, I'm very sorry, nimeunganisha dots ule uzi wa ziara ya Tshisekedi na huu wa haya malori 500 ya huyo mzee kiongozi naanza kupata picha, nini muhimu kilizungumzwa kati ya chief Hangaya na ankali Tshisekedi. Pia dots zimenipeleka kwenye zoezi la Dragon Fly ndio nimepata picha halisi.Daah kweli hii ni bongo daslama kua uyaone...Salut
Una uhakika??? Mbona hayo mazungumzo waliweka bayana kua niya kiuchumi na biashara na mwisho kabisaa wakachomekea na ulinzi na usalama...wajanja ujue wameshafahamu unganisha dots...ndio maana yule jamaa aliamua kununua pegasus ya waisrael ili akae vizuri .HAKUNA LOLOTE HUYU JAMAA NI MUOTA NJOZI TU, HAKUNA HATA KIMOJA CHA UKWELI MAZUNGUMZO YA TSHISEKEDI ZAIDI YALIKUWA YA KIUCHUMI NA SI VILE MDHANIAVYO.
Tulia weweee Tom CruiseMkuu inabidi nipate connection ya hiyo job kwa DP hapo hata kama haina malipo.
Acha kutuletea code ,wengine sio washwahili kwa kutuletea mafumbo wewe mtaje tu, si ajabu tumebaki watu wa majungu hata huku umeufyata kweli utaweza kutoka barabarani na kusema yanyokukera? watanzania waoga sana, tumezidiwa kwa mbali sana na Wakenya,Wamalawi,WazambiaKwani ukituliza vyema kabisa Akili yako na kuyasoma vyema Maelezo yangu una uhakika kuwa sijamtaja / hajatajwa?
Wapishe wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums na ambao huwa wananielewa haraka GENTAMYCINE waje wachangie na utamjua na Kujifunza pia.