Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira

Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti

Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
 
Labda wanaogopa wanaojulikana, hata Watekaji
 
Kuna wasiojulikana mkuu, hujui kama kuna kutekwa na kupotezwa
 
1. Unatekwa na kupotezwa

au

2. Unatekwa, wanakufi*a, wanakurekodi na kukuacha huru,

wengi wakirudi huwa hawataki kusema yaliyowakuta
 
Sababu ni kwamba nchi yetu ipo chini ya kiongozoi aliye laaniwa ambaye kwake "uzalendo ni mavi" na "mzalendo ni adui"....kiongozi akiwa hivyo uzalisha unafiki na uchawa
 
Sababu ni kwamba nchi yetu ipo chini ya kiongozoi aliye laaniwa ambaye kwake "uzalendo ni mavi" na "mzalendo ni adui"....kiongozi akiwa hivyo uzalisha unafiki na uchawa
Raisi ni taasisi

Kichwa kimoja hakiwezi kuzuia watu mil60 na kuwacontrol msimuattack rais personal
 
Raisi ni taasisi

Kichwa kimoja hakiwezi kuzuia watu mil60 na kuwacontrol msimuattack rais personal
Unajua maana ya neno dictator? Je unajua aina mbili za madictor? Je unajua kuwa kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie ili kuongoza pamoja naye kwenye hizo taasisi unazo zisema ? Je unajua kuwa kiongozi ni njia ? KAMA UNGEJUA HAYA MASWALI NA MAJIBU YAKE KWA USAHIHI USINGE SUBUTU KUULIZA SWALI LA KIPUMBAVU KIASI HICHO.
 
Umeongea vyema mkuu tatizo ya yote ni katiba inayompa mamlaka hayo rais
 
Umeongea vyema mkuu tatizo ya yote ni katiba inayompa mamlaka hayo rais
Ndiyo maana Nyerere alisema katiba tuliyo nayo ni nzuri tu kiongozi akiwa mzalendo mwenye akili ya uongozi na mtakatifu (yaani mpenda HAKI) ...ila ni mbaya na mbovu sana kiongozi akiwa ni adui wa uzalendo na wazalendo na mlaaniwa (yaani asiye penda HAKI)
 
Watanzania ni bora tutulie tu maana tumeshapakatwa kama mwali..!
 
Kutekwa na kupotezwa
 
Wajinga ni wengi nchini kuliko werevu, na mpira wa simba na yanga ndio nyumbani Kwa hao wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…