Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira

Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti

Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
huenda ni wewe pekee unaogopa gentleman,
na kumbuka kua uoga wako ndio umaskini wako.

vyama vya siasa vinafanya siasa kwa uhuru nchini nzima, mitandaoni na kwingineko ni siasa tupu, wewe unakuja hapa kupotosha wadau gentleman, surely?🐒
 
Kwa sasa hali ni mbaya sana, hata kumjadili mbunge, diwani kwa madhaifu upo hatarini.

Wanaposema jimbo langu, kata yangu, .... wanamaanisha kweli kweli!

Ingekuwa JF ya zama zile ....... kuna dogo ameingia matatani.

Magufuli aliasisi siasa mbaya sana, ambazo ni kama utamaduni rasmi.
 
Yani wee jamaa nikusifia tu hata pasipo na sifa inaonekana hata akifa mkuu wako utasifia pia
 
Kwahiyo asaivi tukae mbali na siasa kwa kwa ubora wa afya zetu
 
Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira

Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti

Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
ELIMU! ELIMU! ELIMU! ELIMU!
Kwenye siasa bila facts utawapanhaje watu? Au utaongea uongo kama wa SASHA kwamba Tanzania kwa sasa inafanya vizuri kuliko US?
 
Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira

Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti

Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
Sababu kubwa ni vyombo vyetu vya habari. Kwa mfano leo, badala ya Television na radio zetu kuonyesha na kutangaza habari kubwa ya kesi dhidi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani wao wanatangaza habari za Simba na Yanga. Ni aibu kwa kweli.
 
Yani wee jamaa nikusifia tu hata pasipo na sifa inaonekana hata akifa mkuu wako utasifia pia
wajibu wangu ni kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu gentleman, bila kujali mihemko ya wanaochukia ukweli huo :NoGodNo:
 
TV na Redio zote zitafungwa kwa kuingilia siasa za ccm.
 
Back
Top Bottom