Magufuli ndio alikuja kuweka mazingira ya hatari kujadili siasa hadharani. Ifahamike waliokuwa wanajadili siasa hadharani na kuhamasishana mabadiliko ni wapinzani. Baada ya uchaguzi uliotolishia ccm kubaki madarakani, ccm na Magufuli wakaja na mkakati wa kumaliza upinzani. Ndio lilipoanza kazi kundi la watu wasiojulikana.Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira
Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti
Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
Uoga wa kuuliwa, kutekwa, kufungwa, kubakwa na kulatiwa na Samia.Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira
Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti
Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
Yes! Ni Taasisi yenye kitengo cha wasiojulikana, waliosambaa nchi nzima anzia ngazi ya mkoa, kitongoji hadi familia chenye kazi maalumu ya kuteka,baka,fira , lawiti,tesa ,Raisi ni taasisi
Kichwa kimoja hakiwezi kuzuia watu mil60 na kuwacontrol msimuattack rais personal
We Kwa mambo aliyokua anafanya magufuli ulitaka mabadiliko ya kuiba serikalini na kuruhusu vyeti feki unajua Kuna upinzani mwingine unalazimisha mtu aue kilazima mjinga mmoja Ili wananchi wapate maendeleo ni mabadiliko Gani ulivyokua unayataka?Magufuli ndio alikuja kuweka mazingira ya hatari kujadili siasa hadharani. Ifahamike waliokuwa wanajadili siasa hadharani na kuhamasishana mabadiliko ni wapinzani. Baada ya uchaguzi uliotolishia ccm kubaki madarakani, ccm na Magufuli wakaja na mkakati wa kumaliza upinzani. Ndio lilipoanza kazi kundi la watu wasiojulikana.
Kwa sasa anachofanya mama Samia ni mwendelezo wa mkakati wa ccm. Lakini ukijadili kwa maana ya kuisifia ccm na kumsifia rais uko salama. Tatizo kuisifia ccm na rais lazima uwe na maslahi binafsi.
Jifunze kwanza kuweka koma na nukta, kisha uje tuendelee na mjadala. Hata sielewi umeandika nini.We Kwa mambo aliyokua anafanya magufuli ulitaka mabadiliko ya kuiba serikalini na kuruhusu vyeti feki unajua Kuna upinzani mwingine unalazimisha mtu aue kilazima mjinga mmoja Ili wananchi wapate maendeleo ni mabadiliko Gani ulivyokua unayataka?
Wanaogopa kutekwa na kunyongwaMtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira
Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti
Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
Kuongea siasa openly lazima uwe na taarifa sahihi za kila unalolisenma ndani na nje ya mipaka uwe mwanahistoeia nzur uwe na elimu ya kutosha uwe na exposure vitu vyote vinafanya kazi at once kwa watz hilo jambo ni wachache sana the ball is vice versaMtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira
Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti
Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
Majibu anayo..wanawahi kupanic kama uhalo.Wasio julikana ndio 7bu ya siasa kutojadiliwa kwa uwazi na uhuru. Lol
Uko sahihi Watanzania wengi wanapenda zaidi simba na yanga kuliko siasa au diniWatanzania awapendi siasa.
Mbona mnawalazimisha?
#UTATEKWAMtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira