Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

Jifunze kwanza kuweka koma na nukta, kisha uje tuendelee na mjadala. Hata sielewi umeandika nini.
Hapa hatupo shule Fanya kazi acha ujinga hamna atakae kuleta mchele kwako wewe kama Hadi uongozi wa magufuli ulitaka mabadiliko Ili iweje ndio maana mnatekwa na kulawitiwa kwa ujinga kama huu Kuna yaani Hadi magufuli unataka mabadiliko jinga sana
 
Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira

Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti

Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
Wewe jiulize kwanza hao wasiojadili mpira ambao muda wote wanafutilia siasa mbona wao hawajadili siasa hadharani hata kama ni wachache?
 
Wana mchele, sukari unga na kupata mboga sio shida sana
Icho ndo kitu cha muhimu kwa watanzania wao wakisha kula tu bas shida zao zimeisha.

Ukitaka kuona watanzania wanaongea siasa ngoja kipindi cha ukame pale ambapo hua unga wa ugari na mahindi yanapopandaga bei,
 
Hapa hatupo shule Fanya kazi acha ujinga hamna atakae kuleta mchele kwako wewe kama Hadi uongozi wa magufuli ulitaka mabadiliko Ili iweje ndio maana mnatekwa na kulawitiwa kwa ujinga kama huu Kuna yaani Hadi magufuli unataka mabadiliko jinga sana
Magufuli ni nani, kama ulikuwa mchepuko wake hiyo ni kimpango wako. Hujui kuandika unaishia kuniletea story za kiduwanzi. Ngiri jike ww.
 
Kweli Jamii Forums imekuwa kokoro kama hata wewe Bristol unaweza kuingia humu...yaani JF kwa sasa inazoa tu hadi matakataka, kwa hakika inasikitisha!

Zamani ilibidi upige hodi ili ufunguliwe mlango lakini hivi sasa cha ajabu ni kwamba watu kama Bristol wanaingia tu bila kubisha kama vile wanaingia chooni.
 
Magufuli ni nani, kama ulikuwa mchepuko wake hiyo ni kimpango wako. Hujui kuandika unaishia kuniletea story za kiduwanzi. Ngiri jike ww.
Tafuta kazi ya kufanya si umeona ulivykjua zuzuz unatukana ovyo ndio maana mnatekwa na kulawitiwa mwisho wa siku mnakutwa kwenye viroba
 
Njoo uniteke uone nani atalawitiwa kati yangu na ww.
 
We inaonesha kipindi Cha magufuli ulitekwa ukalawitiwa sio Kwa hasira hizi ulizonazo fanya kazi magufuli ameshakufa miaka minne ameshaoza Kila siku unamuwaza yaani unahangaika na marehemu we Kweli hamnazo
 
Nasema hivi, njoo uniteke uone nani ataishia kulawitiwa kati yangu na ww. Niko ubongo maziwa. Ukitaka nikupe location tuone mimi na ww nani zaidi.
 
Kama unajiamini Weka namba Yako ya simu hapa uone kitakachokutokea
 
Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira

Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti

Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa mpira tungekuwa mbali
Punguza sigara bwege
 
Kama unajiamini Weka namba Yako ya simu hapa uone kitakachokutokea
Weka ya kwako ww maana huna unachoogopa kwani uko kwenye kundi la watekaji. Namba yangu sio ya customer care.
 
Back
Top Bottom