Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

Kwahiyo asaivi tukae mbali na siasa kwa kwa ubora wa afya zetu
Yanayofanyika huko juu, yamefika na chini. Kila kiongozi anakomaa ashike hatamu kipande chake: diwani, mbunge, ......

Hata akija mgeni mkutanoni akaulizwa swali kwa changamoto zilizowashinda viongozi wa chini au kuna mradi umebuma baada ya washika hatamu kula zaidi ya kamba zao, baada ya mkutano ataeleza vizuri
 
Basi siasa zifutwe tu
 
Kuongea siasa hadharani ni sawa na kusafirisha bangi, according to most comments
Gentleman,
siasa ni maisha huwezi kujificha kuishi ni muhimu kushika hilo kwa makini.
Ukileta unafiki eti hupendi siasa za majukwaani, utakutana na siasa za kwenye nyumba yako ya ibada, ukiikwepa huko utakutana nayo chuoni kwako, ukijidai wewe ni mnafiki zaidi utakutana na siasa kwenye familia yako n k🐒
 
Hivi ndivyo mnavyo wahadaa watanzania mbinu zenu ni za kirobotgpt
 
shupaza shingo sasa kwenye kuelewa Ukweli huo kuhusu siasa, baki na dhana potofu za kupotosha 🐒
Nyie si mlisema tusizungumze siasa kwenye nyumba za ibada au sio nyie?

Vipi leo kanisani nikute siasa? Hebu jipambanue vizuri ueleweke mkuu
 
mototo akikulilia wakati unaenda kazini, utamuahidi mambo mengi sana gentleman, utahidi mpaka kumletea gari but huleti gari wala pipi jioni ukirudi kutokea kazini, hizo ni siasa za kwenye familia.

kwenye nyumba zaidi ibada utaambiwa umepokea muujiza wako wa gari ukitoa sadaka ya kujimaliza, lakin hakuna cha gari wala baiskeli, na wengine wameahidiwa mokozi wao yupo karibu kurudi lakin hata haijulikani ni lini. Thus pure politics

kuna wengine hufundishwa eti kitabu cha imani yao kilishuhwa toka mbinguni na hakuna uthibitisho ispokua story na porojo za kisiasa tu n.k
hizo kitaalamu zinaitwa ni siasa mahalia gentleman.

ukileta siasa za familia yako ndani ya nyumba ya ibada au kwenye majukwaa ya vyama vya siasa hiyo inakua fujo.

Lazima pawe na ustaarabu 🐒
 
Unauaminisha umma kuwa siasa ni UONGO mmezoea kuwadanganya watanzania

Kwahiyo mama enu akisema atajenga barabara huwa ni uongo(siasa) kama ilivyo kumdanganya mtoto kuwa utamletea pipi?
 
Back
Top Bottom