Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

Watakasirika wengi ila

Wanaigopa serikali.
 
Magufuli ndio alikuja kuweka mazingira ya hatari kujadili siasa hadharani. Ifahamike waliokuwa wanajadili siasa hadharani na kuhamasishana mabadiliko ni wapinzani. Baada ya uchaguzi uliotolishia ccm kubaki madarakani, ccm na Magufuli wakaja na mkakati wa kumaliza upinzani. Ndio lilipoanza kazi kundi la watu wasiojulikana.

Kwa sasa anachofanya mama Samia ni mwendelezo wa mkakati wa ccm. Lakini ukijadili kwa maana ya kuisifia ccm na kumsifia rais uko salama. Tatizo kuisifia ccm na rais lazima uwe na maslahi binafsi.
 
Uoga wa kuuliwa, kutekwa, kufungwa, kubakwa na kulatiwa na Samia.
 
Raisi ni taasisi

Kichwa kimoja hakiwezi kuzuia watu mil60 na kuwacontrol msimuattack rais personal
Yes! Ni Taasisi yenye kitengo cha wasiojulikana, waliosambaa nchi nzima anzia ngazi ya mkoa, kitongoji hadi familia chenye kazi maalumu ya kuteka,baka,fira , lawiti,tesa ,
alafu uwa kabisa.
 
Siasa inahitaji critical and logical thinking,
Mpira inahitaji kushiba ugali.

Wabongo hawapendi kujisomea ili kukuza maarifa ikiwemo na kujua Haki zao.

Mpira na umbea vinatenganishwa na kamstari kembamba sana, ndio maana wababa wanapenda mpira wamama wanapenda ubuyu.
 
We Kwa mambo aliyokua anafanya magufuli ulitaka mabadiliko ya kuiba serikalini na kuruhusu vyeti feki unajua Kuna upinzani mwingine unalazimisha mtu aue kilazima mjinga mmoja Ili wananchi wapate maendeleo ni mabadiliko Gani ulivyokua unayataka?
 
We Kwa mambo aliyokua anafanya magufuli ulitaka mabadiliko ya kuiba serikalini na kuruhusu vyeti feki unajua Kuna upinzani mwingine unalazimisha mtu aue kilazima mjinga mmoja Ili wananchi wapate maendeleo ni mabadiliko Gani ulivyokua unayataka?
Jifunze kwanza kuweka koma na nukta, kisha uje tuendelee na mjadala. Hata sielewi umeandika nini.
 
Wanaogopa kutekwa na kunyongwa
 
Kuongea siasa openly lazima uwe na taarifa sahihi za kila unalolisenma ndani na nje ya mipaka uwe mwanahistoeia nzur uwe na elimu ya kutosha uwe na exposure vitu vyote vinafanya kazi at once kwa watz hilo jambo ni wachache sana the ball is vice versa
 
wapi huko pasipo uhuru wa kuongea siasa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uko sahihi Watanzania wengi wanapenda zaidi simba na yanga kuliko siasa au dini
Hata mijadala ya kidini nadra sana kuona watu wanajadili
Tatizo ni nini mkuu maana hata wenye elimu zao ni ngumu kuwakuta wakijadili siasa na dini
 
#UTATEKWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…