Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Ile kuifanya direct yenyewe naona itakua ngumu ila nataka niwe wakala mkinunua na kuuza nipate commission, pia mkifanya deposit na withdrawal na mm Nile....Kuna jamaa alinielekeza ila alinishaur at least nijaribu kufanya kidogo
ukitaka kufaidi kuwa hodler hasa bitcoin ni very bullish
 
nakupita moja yakichwa paaa.halafu nawatuma vijana wangu wakakuzike kwakukupandia mgomba juuπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
Nashangaa wewe ndiye lameki yupi.
Unatishia watu amaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbna lameki Mwenzako ni padri iringa kule
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…