Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi nunua kitu
Hivi hua ni wapi hapo kwa wahaya.? Nasikia wanapasema sana humuZama pale kwa wahaya.
dodge
Mashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa
Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu
natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.
BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana
ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.
Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi
nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea
na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
Poa mkuu fanya hivyo basAsee ngoja nitakupigia picha kwanza kujua daah hivi vya kununua kwakusikia sio kabisa
Acha nakwambia manundu sio ya kawaida
nyama ya binadamuNiliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na mpaka leo ipo kwenye makorokocho. Nilijutia sana asee.
Vingine vinakuja..
unashauriwa kutotumia hisia pale unapofanya manunuziKuna Elimu Nilinunua Sijawahi kuitumia Hata kidogo
Nikanunua Elimu Nyingine ambayo inanisaidia (Naitumia)
Najuta kuinunua ile ya Mwanzo
Hela + Muda vimeenda Bure
pochi niliyoipenda Sana..nimenunua nikabeba Mara moja ikaja kuazimwa ..dah! Ilirudi imeharibika Sana..najuta kuinunua ile pochi Kuna wakati naiangalia nasema ile pesa ningefanyia kitu kingine nisingeumia hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu ingawa mimi mwenyewe ni wauswazi[emoji2][emoji2][emoji2] umekoma kula kula vitu vya uswazi...ukajifanya kutoa malalamiko ...ukidhani kuwa watakuelewa ...ulisahau kuwa uswazi ustaarabu ni 0
[emoji16] [emoji16] [emoji1]Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].
Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.
Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.
Kufika ghetto suruari fupiii .
Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu
Achaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app