Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Pole inabidi upunguze mrembo
 
Yani tupo sawa sawa yani
 
Na tatizo la kuachwa halitaisha kwa style hio! Tabia ya kususa susa mtu mzima inanikeraga kichizi 😹😹😹 jifunze kuwa calm! Kila ukipigiwa simu unaleta maswali ya polisi 😅
 
Na tatizo la kuachwa halitaisha kwa style hio! Tabia ya kususa susa mtu mzima inanikeraga kichizi 😹😹😹 jifunze kuwa calm! Kila ukipigiwa simu unaleta maswali ya polisi 😅
Dah haya basi naacha jamani, mimi kiukweli now nimeacha siulizi chochote na hata usipopokea simu week haina shida eeh furahia sasa
 
Na tatizo la kuachwa halitaisha kwa style hio! Tabia ya kususa susa mtu mzima inanikeraga kichizi 😹😹😹 jifunze kuwa calm! Kila ukipigiwa simu unaleta maswali ya polisi 😅
Hiyo inatokea tatizo kujizuia ufanye juhudi hasaaa
 
Mimi sasa......... (ngoja nicheke kwanza)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
1. Napenda sana, najali sana, yaan kila kitu kinachomaanisha true love huwa nafanya
LAKINI mpenz wangu akifanya kosa moja tu (hata kama ni dogo)....... Huwa nashindwa tena kumwamini hata iweje, upendo huanza kupotea, sitomjali tena, na hata ile attention naye inatokomeaga wapi cjui.. Na hapo ntaanza kutafta mwngne.

YAANI KOSA MOJA HUBADILI KILA KITU KWENYE MAHUSIANO YANGU
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana kalumbu
Kalumbu unanicheka mwee🤔 nimesema tu ukweli mimi simfikii yule babe wake mpya hata robo yaani, ila fresh tu namimi ntapata bonge la bwana kumzidi yeye😜(najifariji)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…