Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Pole inabidi upunguze mremboMimi udhaifu wangu ni wivu + hasira mixer kulia yaani nikipiga simu haijapokelewa roho inakua juu akijapokea baadaye naanza hadi kulia nikihisi alikua anachepuka huko then natangaza tuachane tu, baadaye hasira zikiisha ndiyo naanza kujiuliza hivi why nimemwambia tuachane wakati nampenda sana hivi ?narudi namwandikia gazeti la kumuomba msamaha tena na kusisitiza nampenda ni wivu tu wa upendo asiniache. Hamuwezi amini ila niliachwa sababu ya wivu na kulia. Nikabembeleza sana aah hakurudi ng'oo.🤔