Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

Cost recovery based on CAPEX, kama 42 Billion imetumika kwenye mradi hiyo pesa inarudi yote kwa mwekezaji kupitia mgawanyo wa faida. ndio business.
Ndio maana nakwambia hawawezi zidisha gharama za uwekezaji kisa wapate faida kubwa hicho kitu ni ngumu sana kufanyika.
Maana sio tu kampuni moja ndio inahusika ni zaidi ya nne umeona hapo tpdc ataingia kama muwekezaji hata kama ni kwa percent ndogo kwa hiyo kila mwekezaj atapata kadiri ya alichowekeza.
Kuhusu mkopo kampuni zinazohusika ndio zitaingia risk na ndio zitapambania mkopo na hiyo 42bil usd sio kwamba itakopwa yote wawekezaji lazima wawe na pesa ya kianzio halafu mkopo utagawanywa kwa kila mmoja kulingana na share wanazomilik kwenye huo mradi, mfano mambo yakaenda vibaya sio tanzania itakayodawia ni Tpdc na hao wawekezaji wa njee mfano Shell.
Na huo mkopo inabidi bank na taasisi zaidi ya 10 ziungane kutoa hizo fedha hakuna anaeweza kuingia risk kutoa dola bil 42 peke yske
 
Hawawezi fanya hivyo kwani profit sharing inakuwa based na hiyo 42b usd.
Hiyo Liquified natural gas Tanzania ingeharakisha tu ichimbwe kwani kadiri muda unavyozidi kwenda ndio thamani yake inazidi kushuka, kwani sasa hivi dunia inaenda kuachana na nishati chafu mafuta, gases na makaa ya mawe.
Tunaelekea kwenye solar power, batter, wind etc
Kama inakuwa based na hiyo 42b USD huoni wao ndio wanatupiga hapo!?. Mradi wowote ambao mwekezaji amedanganya kuhusu gharama za uwekezaji maana yake anakupiga wewe mwenye mali. Au hata Hilo unahitaji kupelekwa shule kuelewa!?
 
Ndio maana nakwambia hawawezi zidisha gharama za uwekezaji kisa wapate faida kubwa hicho kitu ni ngumu sana kufanyika.
Maana sio tu kampuni moja ndio inahusika ni zaidi ya nne umeona hapo tpdc ataingia kama muwekezaji hata kama ni kwa percent ndogo kwa hiyo kila mwekezaj atapata kadiri ya alichowekeza.
Kuhusu mkopo kampuni zinazohusika ndio zitaingia risk na ndio zitapambania mkopo na hiyo 42bil usd sio kwamba itakopwa yote wawekezaji lazima wawe na pesa ya kianzio halafu mkopo utagawanywa kwa kila mmoja kulingana na share wanazomilik kwenye huo mradi, mfano mambo yakaenda vibaya sio tanzania itakayodawia ni Tpdc na hao wawekezaji wa njee mfano Shell.
Na huo mkopo inabidi bank na taasisi zaidi ya 10 ziungane kutoa hizo fedha hakuna anaeweza kuingia risk kutoa dola bil 42 peke yske
Ni kweli ila TPDC wao hawataingiza hata cent moja ila share lazima sababu Gas yetu. Mkopo halisi hawawezi kuongeza hata shilling sababu haya makampuni hawachezi na number watapata adhabu kubwa wakifanya hivyo huko kwao na shareholders. Hiyo 42 inapigwa huku ndani kwa ndani kwenye vitavu vyetu mwisho wa siku inakatwa juu kwa juu wanasema cost recovery.
 
DP WORLD ndiyo imetoka hiyo subiri tu mapato kuongezeka in terms of price operations.
Wao ndio wameshika mpini Sasa. Wanawaeza ongeza chaji za operations Wala hawana habari! Madhara yake gharama za mlaji wa mwisho zinakuwa kubwa zaidi. Kazi tunayo Aisee!
 
T
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi

Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo

Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine billion 42 ni nyingi sana kwa mradi mmoja tu na kwa nchi maskini kama Tanzania

Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
  • Aluminium smelter
  • Copper smelter
  • Pig iron smelter
  • Glass smelter
  • Spinning
  • Paper pulp
  • Oil refinery
  • Petrochemical plant
Tatizo la democracy ndio hili,,wacha ela itumike sehem iliokusudiwa .
Ka ela chenyewe b 42 unaanza kuleta matumizi mengine
Aya na sisi wengine tukisema hio ela serikali ilimie matikiti
Mwingine nae aseme ijengewe zahanati!
Tuache serikali ifanye kazi yake
 
Wao ndio wameshika mpini Sasa. Wanawaeza ongeza chaji za operations Wala hawana habari! Madhara yake gharama za mlaji wa mwisho zinakuwa kubwa zaidi. Kazi tunayo Aisee!
Haya pendekeza tufanyeje tofauti na hivyo
 
DP WORLD ndiyo imetoka hiyo subiri tu mapato kuongezeka in terms of port operations.
Kwani IGA iliondoka?
Ninachoweza kusubiri kwa hamu ni uongozi utakao hakikisha kuwa hakuna makubaliano ya aina ile yatakayo kubaliwa na nchi hii.
 
Kwani IGA iliondoka?
Ninachoweza kusubiri kwa hamu ni uongozi utakao hakikisha kuwa hakuna makubaliano ya aina ile yatakayo kubaliwa na nchi hii.
Utakufa na IGA utaiacha. Watanzania hamjui mnachokitaka. Nyerere alitaifisha makampuni ya Wahindi na Wazungu akawapa muendeshe mkayaua.

Bandari palijaa mediocre na wizi, tunaleta DP WORLD mnang'aka
 
Utakufa na IGA utaiacha. Watanzania hamjui mnachokitaka. Nyerere alitaifisha makampuni ya Wahindi na Wazungu akawapa muendeshe mkayaua.

Bandari palijaa mediocre na wizi, tunaleta DP WORLD mnang'aka
Huu ndio utwana halisi ninao uona kwa baadhi ya watu kama wewe, na Samia ndiye kuhani mkuu wa mawazo ya aina hii sasa hivi.
Wewe hao unategemea Tanzania itakuwa nchi ya kuwategemea akina DPWorld milele! Kutunza mapori na kupanda misitu; kila kitu, tuwape wanao weza toika nje waendeshe na hawa waTanzania, wavivu, wezi; "wasiojuwa wanacho kitaka" wao milele wawe watwana tu!
Hivi 'mentality' ya kipuuzi hii huwa mnafundishwa wapi hasa? Ni kwenye malezi yenu ya familia na tamaduni za kigeni zilizo walemeya?
 
Kuanzia hapo Chalinze, Kibiti, Pangani njia zote hizi zina mapori. Je mtamzania mwenzangu umeshika ekari ngapi? Au unalima kwenye mtandao???

Ni 15% tu ya arable land ndiyo inatumika kwa kilimo. Sasa kuna ubaya gani kuingia mkataba wa carbon credit na UAE tukapata hela kama nchi???

Waafrika ni walalamishi kwa kila kitu
 
Kama hujui wajibu wa kuwa kiongozi wa nchi ni nini, kwa nini ujihusishe kuwa kwenye ngazi hiyo?
Ni lini umemsikia Samia akieleza chochote kuhusu dira ya uongozi wake katika nchi hii?
Unajuwa wajibu wa serikali kwa wananchi wake ni kitu gani?

Unanieleza mambo ya mapori. WaTanzania wataanzia wai iwao serikali ipo kuwatumikia wageni badala ya wanchi wake? Ulisikia lini serikali ikihimiza wananchi wake, au kuwapa tu elimu na kueleza sera zake katika maeneo hayo ili wananchi washiriki kwenye shughuli hizo.

Ni hela gani anaipata mTanzania kwa ushiriki wa hao watu katika kazi anayo weza kuifanya mTanzania mwenyewe?
 
Samia anatekeleza vision 2025 iliyoandikwa na Mkapa mwaka 2000. Anatakeleza kupitia Ilani ya CCM ambayo imekuwa ikitengemeza mpango kazi wa muda wa kati kila baada ya miaka 5. Mpango kazi wa kati unatoka kwenye vision 2025.

Na sasa kuna timu inatengeneza vision 2050 itakayoanza kufanya kazi mwaka 2026 baada ya hiyo ya 2025 kufika ukomo mwaka kesho.

Kama hukashika pori ukaanza ku explore fursa zilizopo basi elimu uliyoipata ni sawa na sifuri
 
Na hapo ndio shida yetu weusi, ubinafsi hata kama ipo namna ya kuboresha maisha ya wengine na wewe bado ukawa tycoon.

Kwa jinsi ardhi ya Tanzania ilivyobarikiwa, ukiwa kiongozi unaweza kuishi vizuri wewe na vizazi vyako mpaka 20 lakini pia unaweza kuboresha maisha ya watu wako kiasi hata cha kusahau kama kuna uchaguzi, GCC na Saudia wamejaribu kufanya watu wao kuwa na uchumi mzuri kiasi kwamba hawazibughudhi kabisa familia za kifalme.

Kwa resources tulizonazo ukiwa jumba jeupe directly unaweza kuwafanya Watanzania 100 matajiri kila week directly achana na wale indirectly hii inaweza kuwa program ya jumba jeupe na in 20yrs Watanzania 90% wanaweza kuwa na uchumi mkubwa.
Akili kubwa kama hii walikuwa nayo akina Muammar Gaddafi. Hiki nilichokibold hapo kinahitaji kiongozi mwenye akili kubwa mno na awe na chembe chembe za uzalendo kitu ambacho viongozi wengi wa kileo wa kiafrika hawana, wanachojua wao ni kujitajirisha kwa kuuza au kuweka rehani rasilimali za taifa huku Rai wao wakidumbukia kwenye umasikini uliotopea.

Mwamba uko smart sana nimesoma comments zako mbili hapo mpaka nikatamani wewe ndio uwe mshauri mkuu wa Samia.
 
Gaddafi mwenyewe unamsifia alikuwa na nini cha maana alichokiacha? Au na wewe ni mhanga wa propaganda ya kwamba alikuwa anawalipia gharama za harusi vijana wanaofunga ndoa?
 
Samia anatekeleza vision 2025 iliyoandikwa na Mkapa mwaka 2000. Anatakeleza kupitia Ilani ya CCM ambayo imekuwa ikitengemeza mpango kazi wa muda wa kati kila baada ya miaka 5. Mpango kazi wa kati unatoka kwenye vision 2025.

Na sasa kuna timu inatengeneza vision 2050 itakayoanza kufanya kazi mwaka 2026 baada ya hiyo ya 2025 kufika ukomo mwaka kesho.

Kama hukashika pori ukaanza ku explore fursa zilizopo basi elimu uliyoipata ni sawa na sifuri
Ni nani asiye fahamu hayo ya "mipango"!

Lakini naona hata huongelei chochote kuwa kwa vile tunayo mipango tayari, watu kama Samia hatuwahitaji, wabaki tu huko huko Kizimkazi kulea wajukuu!
Hiyo mipango yote unayo izungumzia inatakiwa utekelezaji na kutungiwa sera za utekelezaji wake. Na jambo la muhimu kuliko yote, ni nafasi ya waTanzania katika mipango hiyo.
Wewe hapa unakuja na kubwabwaja tu bila ya tafakari yoyote.

Hiyo mipango ndiyo inayo elekeza kuwa tukatafute watu wa kuja kutunza mapori yetu hapa? Vipi, mbona ni kama nilikupa hadhi ya ufahamu isiyo kuenea, kutokana na haya unayo weka humu!
 
Nime kueleza mnavyo fanyia mambo gizani ili tusiyajue, halafu unanitaka nikupe 'details'!

"uenda wazimu" ni kufikiri kuwa wenye mali "waTanzania" hawa stahili kujulishwa mipango na namna raslimali zao zinavyo pangwa kuwaletea manufaa wenyewe; badala yake kila kitu kinafanywa kuwa siri kubwa ili kupitisha madudu yasiyo wanufaisha wenye mali.
Kama mikataba iko sawa, kuna jambo gani la siri kiasi kwamba mujiite vyura viziwi ili msisikie sauti za wananchi kuhusu mikataba hiyo.
Hivi magazeti kama Uhuru na Mwanainchi hii habari watakuwa wameipublish kweli?...maana ninaskilizaga Kila siku hasubui dondoo za magazeti, lakini habari zinazohusu mradi wa $42b sijapata kuuskia.

Na pia natamani kujua kama Kuna enough awareness kuhusiana na huu mradi kwa watanzania, haijalishi uwezo wao kuchambua mambo ukoje.

Huu ni mradi ambao maamuzi yake yana impacts kubwa kwenye ustawi wa taifa letu huko mbeleni...hivyo, halitakiwi kufanyika kimyaa kimya tu kama biashara ya madawa haramu.
 
Gaddafi mwenyewe unamsifia alikuwa na nini cha maana alichokiacha? Au na wewe ni mhanga wa propaganda ya kwamba alikuwa anawalipia gharama za harusi vijana wanaofunga ndoa?
Huwa niko allergic na machawa, hata kuwajibu huwa naona uvivu sababu kichwani mwenu mmejaza makamasi badala ya ubongo hivyo hatutaelewana.

Hili kuonesha kuwa mmejaza makamasi kichwani, kwanza huwa mna chuki sana na viongozi wazalendo na mara nyingi huwa mnatoa kauli za kebehi na dharau kwa viongozi hao.. mfano kama wewe hapa ulichokifanya.

Eti amefanya nini Cha maana?? Sina muda wa kujibu swali la kiwack kama hili, Rudi darasani ukasomea historia ya Libya kabla na baada ya Gaddafi
 
Mimi nadhani kuna watu wanachangia kwa chuki tu, kwanza LNG ni muwekezaji ndiye anajenga kuna kitu kinaitwa PSA ndio serikali inakula pesa, hakuna serikali ikajenga yenyewe eti kwa mkopo. Habari haina mashiko mtu kakurupuka labda kasina gharama ya mradi 42 B kadhani ni mkopo. Japo najuwa sio kweli hakuna gharama ya LNG ikawa 42B. Mtoa taarifa ni vizuri ukatoa habari za uhakika sio kusambaza vitu hujui.

Na wewe unayesema hawataki LNG wabunge fafanua hawataki nini? muwekezaji au? mbona chuki zimewajaa hamjui hata mnataka nini kama nchi. Nchi lazima iwe na uwekezaji Tanzania hawana uwezo wa kuchimba Gas, wala kuchakata Gas uwezo wa kipesa wa utaalamu. Hizi ni private sector, ila ni wajibu wa serikali kupata good deal kwenye PSA hilo ndio jukumu la serikali.
tukiwa na viongozi kama wewe tz itakufa masikini. Eti tanzania haina uwezo wa kuchimba ges? Ila uwezo wa kununua magari piki piki na baiskeli za mama tunao. Ni ajabu kama taifa kusema hatuna uwezo wa kuchimba ges wakati tuna madini bahari aridhi nzuri mbuga za wanyama na vyanzo vingi vya mapato lakini tunawapa wageni eti sisi hatuna uwezo navyo. Inasikitisha sana.
 
Lini ulikuwa tajiri? kwani kuwa na mbuga hoja ya kuwa tajiri halafu fikra za kimaskini eti tunawapa wageni, fafanua unawapa bure au? yes narudia sio Tanzania tu ni Africa. Wewe unadhani kuchimba ni kama kuchimba kisima cha maji msikitini? gharama zake unajizua wewe? pesa unazo, unachimba hujui utapata au utakosa unayaweza hayo. Toa kauli yako hiyo tunawapa wageni huo ni umaskini wa fikra, mwekezaji hatoi sadaka anakuja kuwekeza apate faida. eti tuna wanyama so what? wa Misri wana Pyramids tu na wanaingiza watalii 20Mil wewe ukijitutumua 2M. Hujiulizi kwanini? Hatuwezi kuchimba madini ndio uchimbe visima vya Gas, unajuwa gharama zake na za uendeshaji? pesa utaitoa wapi. Wale wana uwezo kiutalaamu na kipesa sisi sio kipesa wa kiutalaamu zero.
 
Back
Top Bottom