jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 2,524
- 10,287
Ndio maana nakwambia hawawezi zidisha gharama za uwekezaji kisa wapate faida kubwa hicho kitu ni ngumu sana kufanyika.Cost recovery based on CAPEX, kama 42 Billion imetumika kwenye mradi hiyo pesa inarudi yote kwa mwekezaji kupitia mgawanyo wa faida. ndio business.
Maana sio tu kampuni moja ndio inahusika ni zaidi ya nne umeona hapo tpdc ataingia kama muwekezaji hata kama ni kwa percent ndogo kwa hiyo kila mwekezaj atapata kadiri ya alichowekeza.
Kuhusu mkopo kampuni zinazohusika ndio zitaingia risk na ndio zitapambania mkopo na hiyo 42bil usd sio kwamba itakopwa yote wawekezaji lazima wawe na pesa ya kianzio halafu mkopo utagawanywa kwa kila mmoja kulingana na share wanazomilik kwenye huo mradi, mfano mambo yakaenda vibaya sio tanzania itakayodawia ni Tpdc na hao wawekezaji wa njee mfano Shell.
Na huo mkopo inabidi bank na taasisi zaidi ya 10 ziungane kutoa hizo fedha hakuna anaeweza kuingia risk kutoa dola bil 42 peke yske