Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Sio kukosea kuchagua kozi inshort sasa hiv ukisoma coz yeyote utegemee kuajiriwa ni kama unapoteza muda ww bora usome tu kuongeza maarifa
Huwa nawaambia wanafunzi wanaotaka kwenda chuo kusoma then wakimaliza wanategemea kuajiriwa(kwa wale wanasiopata mikopo) kwamba hizo milioni kadhaa za ada ni bora wafanyie kitu kingine after 3 yrs watakua mbali kuliko yule alienda chuo wananiona mad
 
Najuta kuamua kubaki kazini kwangu wakati nilifanya interview kwenye taasis nyingine ya fedha nikapata ila nikaona basic salary itapungua elf 50.sasa kwetu kila Mwaka salary inaongezeka 5 to 7 % wakati huko kumbe ni 15 to 20 %.sasa ni miaka4 .
 
Najuta kuamua kubaki kazini kwangu wakati nilifanya interview kwenye taasis nyingine ya fedha nikapata ila nikaona basic salary itapungua elf 50.sasa kwetu kila Mwaka salary inaongezeka 5 to 7 % wakati huko kumbe ni 15 to 20 %.sasa ni miaka4 .
Du pole sana mkuu. Ama kweli majuto ni mjukuu.
 
Msamehe halafu uone kichapo atakachopata kutoka kwa Mungu! Sbb ukimshikilia unaumia then utashindwa ku move on
Inauma mpaka natamani tujilipue wote bora watoto wabaki yatima ,najitahidi kuvumilia maisha yanavyoniwia magumu ndio hali ya malipizo inavyonijia sijawai kukaa dk 10 bila kufikilia na kujuta na hayo madogo niliyoeleza nikisema yote utoamini nilivumilia vipi na kwanini (alinifanyia dawa za kienyeji ) nae alishawai kukili,duniani kunawatu wanaloho mbaya shetani anasubili.
 
JUtio langu nikiandika hapa mtanionea huruma n naweza hata nikalia..ila najuta nadhan ntajuta milele
Pole sana mkuu ila usiogope sema tu.
 
Ulichokisema ndio hali iliyopo tunayojionea mkuu..!!

Coz nyingi sasa hivi ambazo hazikuandalii mazingira tofauti na ya kuajiriwa ni majuto tu hatima yake, mwaka huu nimeona mpaka ualimu napenyewe ni yale yale...

Yaani sasa hivi kwa mtu anaetegemea sana elimu ndio imtoe kimaisha ni bora hata akaenda zake kusomea fani za ufundi.

Kuna rafiki zangu niliomaliza nao form four wakaenda zao vyuo vya ufundi tena walitumia gharama nafuu mno kulinganisha na mimi, na baada ya kutoka chuo walijiongeza wao wenyewe kupitia taaluma zao.

Leo hii wako mbali kishenzi wana wanauwezo hata wa kumwajiri daktari.

Ile miaka mitatu ni mingi sana bwashee alafu na bado benchi linakusubiri lazima ujutee
 
Nafikiri kosa la kuanza shule na umri mkubwa halikuwa kosa lako.Hilo ni la wazazi maana kuanza shule kwa ninavyoelewa mtoto hana maamuzi yoyote kwa familia zetu nyingi za kiafrika.!!
Kwa hiyo wala usilijutie mkuu!!
wewe hauna unachojutia mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…