Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Kuna wakati huwa nawaza kuwa Mungu ni kaka yangu, yaani nikiharibu tena kwa makusudi yeye anarekebisha hadi sasa sina Ninachoweza kujutia japo nimeharibu saaaana!...nimepiga migegedo ya one night stand na watu kutoka makundi hatarishi na bado ameniepusha na ngoma(Ee Baba sitarudia kukujaribu)

Mwaka juzi nililazimisha kwenda chuo kikuu baada ya mwajiri wangu kuninyima ruhusa ki- mizengwe nimesoma miaka miwili huku mshahara wangu unaingia fresh japo kwenye file langu huko kazini ilikuwemo barua ya utoro kazini, nilikuwa najipa matumaini ya kupata kazi safi baada ya kumaliza degree yangu (kazi ya awali sikuwa naipenda japo nimejenga na kusomesha kwa kazi hii). Muziki ulianza kunoga baada ya utawala wa Magu kuanza kazi, kozi yangu ikapigwa stop kuwa ni feki....dah! Watumishi hewa wakaanza kusakwa.....kufupisha tu, nipo kwenye kazi yangu ya zamani, chuo staki tena kusikia maana ni Kama nilikurupuka.

Unaweza kuona jinsi majuto yalivyokuwa yanakuja ila huyu kaka yangu akasolve kiaina!
 
Nulienda Kenya bila pasipoti.nikakutana na msako majambazi wameua watu watatu na kupora.Nimeshuka stendi moja inaitwa Country bus Nairobi .Mara polisi hawa hapa tupe identity nikawa sina mara wakasikia kiswahili cha kitz wakasema we ni mtz nikakataa nikasema mi mkenya wakauliza kwenu wapi nikadanganya Isibania border wakaniuliza tena kama we ni mkenya id iko wapi? nikasema niliipoteza wakaniuiza Chief wako na mbunge wako ni nani?.Nikafeli nilisota miezi kama minne hv mahabusu, bahati nzuri wale maaskari hawakuudhuria kesi Mara 4 ndio ikawa ponapona yangu.Nyingine nilishikwa ugoni daaah siwezi sahau ila nilifanikiwa kukimbia kilichofuata sitakisema
 
Haaa haaa JF ni noumer...eti napenda K jamani...
 
Has haaa haa
 
Sina kosa lolote la kujutia kwa sababu makosa ni sehemu ya uwepo wangu kama binadamu.Zaidi nitajifunza kutokana na makosa na si kujutia..
 
Dawa ya kupunguza makalio??? Sijakuelewa hapo.
Polee sanaa.

Hahahaha poti
 
Du hii hatari sana mkuu. Umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka nikiwa na umri wa miaka 3 beki 3 wa shemeji yangu alikuwa akinilaza chini na kuniingiza dudu yangu kwenye K yake wakati huo mimi sina hisia zozote halafu naona kama anaingiza dudu yangu "shimoni' vile ila yeye nadhani alikuwa akijipoza na hicho kitendo maana kila wazazi wakiondoka yeye hunilaza chini na kufanya yake (ubakaji).

Pia kuna dada yangu mmoja nunda alikuwa aki2t0mb@n!$h@, mimi na visichana vidogo huku akitutaka tuact kunasishana kama mbwa wanavyovutana wakati wanapo du. Sijui yeye alikuwa anapata raha gani. Mpaka amenisababishia pepo la ngono linaloendelea kunitesa hadi leo. K haikatizi mbele yangu...nimekuwa kama fisi asiyechagua mfupa.
 
huu uzi sijajua umekusudia watu kutoa dukuduku zao za "MAJUTO", au machungu ya "SINTOSAHAU"
Ni hayo hayo mkuu. Ni majuto na kumbukumbu tata za nyuma ambazo huwezi kuzisahau na ambazo kama ukipata nafasi ya kujisahhisha huwezi kuzirejea kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…