Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo.

Wakati nipo chuo mwaka wa tatu UDSM huko Tanzania nikipiga zangu Computer Science nilipata mchongo Nokia Siemens kuna mradi wa kusimika minara walikuwa wakifanya na walihitaji watu competent kwenye eneo la Network Systems nikapewa hiyo connection na nilipiga kazi kama mwaka hivi hela ilikuwa tamu ila bahati mbaya kuna rafiki yangu wa karibu sana (family friend) alipata majanga ya kifamilia kodi nyumbani ilimuishia.

Michongo alikuwa hana na mke wake alikuwa akiumwa sana aliniomba nimsaidie amalize suala lake la kodi nikamsaidia lakini baadae aliniomba nimkopeshe kama milioni 12 aende morogoro akafanye mishe za kilimo ila ndani ya miezi 7 atakuwa kasharejesha yote so kwasababu ya ukaribu wetu na jinsi nilivyomfahamu way back sikuwa na shaka na ombi lake..

Dah niliingia benki nikamtolea milioni 12 akanishukuru akasepa yaani toka nimempa hiyo pesa sikuwahi kummwona tena maishani nilimtafuta sana baadae hata mke wake naye akawa hapatikani nilienda kwao kupeleka malalamiko yangu lakini ni kama walinipoza tu kwa maneno mwisho nikachoka na kuamua kupotezea ila iliniuma hii mistake.. usimuamini kiumbe anayeitwa mtu kupita kiasi..

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha nyuma cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze ili wasikosee?
Kumuoa mke wangu
 
Ku'date mwanaume nisiyempenda kwa kufata ushauri wa mwanamke anapenda baadae/akipendwa
Jmn nilijikaza lakini nilishindwa, sikua na hisia before na baada ya mahusiano kuisha sikuwa na hisia pia,
Na aligundua akavunja mahusiano kwa kusema siku ukipata unayempenda haya mahusiano yataota mbawa
Sasa mlikuwa mnagegedanaje...maana bila hisia ata mbususu hailowi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
1. Kutokupata kumaliza degree kwa muda maalum accordingly.
Nilipostpone Masomo kisa biashara. Na nilikua nimeshafika mwaka wa pili.
Nikarudi miaka miwili baadae , nilisoma kwa shida , nikamaliza kwa shida. kama una nafasi ya kusoma soma muda huo kijana usicheze na muda.


2. Ukiona unaweza kuzaa au kuzalisha. Zalisha mtu sahihi. Tuliza kichwa. Majuto yake ni hatari, haswa kama hujajipanga. Though upande wangu nilijuta kuzaa na mwanamke aliyekua wakupita tu. Nikaachana na chuma nilichokua mimekielewa na nilikua tayari nimeshawekeza maisha yangu, nilipoteza mwanamke na mali.
Nilianza upya maisha. kijana jitahidi sana hisia, kupunguza, jitahidi sana uzae ukiwa na mipango na maamuzi yako binafsi si ya rafiki wala mpenzi wako.

3. Ukipata hela miradi na mipango ni mingi usisubiri kwamba utaja pata mbeleni. Hicho ndicho chenyewe. Niliwahi pata hela nyingi sana nikiwa bado 20-25 nikachezea sana.
Nilipata shida sana kuzipata after miaka hiyo, bata la kila aina. Wanawake, roadtrips na marafika starehe za sinza zilinikoma. Kijana kua makini na starehe, fany huku unawekeza. Laki ni pesa kubwa sana.

4. Na mwisho, ujanja ujanja, umenicost sana, mbele ya wazazi ndugu na marafiki, kijana usiwe much know. Hii hupoteza sana muda, uwongo. Umenicost sana. Kijana jitahidi sana hapo.

Zaidi Thread tamu sana hii.
Hii nambari 3 ndio yenyewe. Aisee vijana tukipataga hela kwanza tu atakaga kupoza machungu ya kutoswa na mademu wakati tulikuwa hatuna ndalama...hapo wee ni mbususu mbususu na wewe. Usemalo kweli kabisa tunadhani zitakujaga tuu ila ukweli maisha ni kupanda na kushuka. Vijana tuwe makini na hizi mbususu, tamu kweli kweli na zichakate kweli kweli upatapo nafasi ila Fanya hivyo kulingana na urefu wa mfuko wako.
 
Hii nambari 3 ndio yenyewe. Aisee vijana tukipataga hela kwanza tu atakaga kupoza machungu ya kutoswa na mademu wakati tulikuwa hatuna ndalama...hapo wee ni mbususu mbususu na wewe. Usemalo kweli kabisa tunadhani zitakujaga tuu ila ukweli maisha ni kupanda na kushuka. Vijana tuwe makini na hizi mbususu, tamu kweli kweli na zichakate kweli kweli upatapo nafasi ila Fanya hivyo kulingana na urefu wa mfuko wako.
Halafu mbususu zinatabia ya kuleta mikosi hela zinakatika!!

Hasa mbususu za malaya, ogopa sana malaya!!
 
Halafu mbususu zinatabia ya kuleta mikosi hela zinakatika!!

Hasa mbususu za malaya, ogopa sana malaya!!
Hamnaga kitu kama hicho wewe....hela zinakata kwa sababu unawekeza hela nyingi huko kupitia uwezo
 
Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha nyuma cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze ili wasikosee?
Usijiddanganye mwanamke akuambie anakupenda, ukaingia kwenye 18 zake ukampa mimba ...utadata
 
Kuna mwanamke mmoja nilimpenda kupita kiasi. Hili ni moja ya kosa kubwa nililowahi fanya maisha yangu yote. Kuachana nae ilichangia sana kuharibu maisha yangu. Japokuwa sasa niko sawa kiana, Ila huyu kiumbe alijua kunitesa.
 
Kuamini kuwa mwanamke anayejibu kwa dharau na matusi kuwa ipo siku atabadilika. Sintasahau maisha yangu yote ila sasa maisha yanaendelea. Mwanamke akikupenda huwa ananyenyekea hadi basi jamani.Sasa hivi nafirahia maisha nawasihi vijana usijaribu kuvumilia mwanamke ambaye unategemea kuanza nae maisha akikudharau kwa namna yoyote, kimbia na usigeuke nyuma.
 
Back
Top Bottom