Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Kindly, elezea kidgo Chief.
Mkuu mafanikio ni siri, na siri ndi mafanikio yenyewe.
Tuna ishi na viumbe was ajabu Mano, wako tayari kuku toa mchezoni muda wowote.

fanya vitu kwa kiasi, yaani secretive sana.- Kama una jenga- Jenga kimya kimya mzee.
Kama ni kazi, we kuwa fala flani hivi.

Hope uta Elewa namaanisha nini 🙏
 
Ku'date mwanaume nisiyempenda kwa kufata ushauri wa mwanamke anapenda baadae/akipendwa
Jmn nilijikaza lakini nilishindwa, sikua na hisia before na baada ya mahusiano kuisha sikuwa na hisia pia,
Na aligundua akavunja mahusiano kwa kusema siku ukipata unayempenda haya mahusiano yataota mbawa
 
Hata Mimi nilichelewa kuijua kweli.

Nimeokoka na kumjua Mungu nikiwa na miaka 20. Sasa Nina miaka 10 ya wakovu.

Mjueni sana Mungu Ili muwe na Amani ndivyo Mema yatakavyowapata.
Ayubu20:21.

Wakujue Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristu uliyemtuma.
Yohana 17:3
Hujawahi kula demu wa mtu katika wakovu wako?
 
Ku'date mwanaume nisiyempenda kwa kufata ushauri wa mwanamke anapenda baadae/akipendwa
Jmn nilijikaza lakini nilishindwa, sikua na hisia before na baada ya mahusiano kuisha sikuwa na hisia pia,
Na aligundua akavunja mahusiano kwa kusema siku ukipata unayempenda haya mahusiano yataota mbawa
Ku'date mwanaume nisiyempenda kwa kufata ushauri wa mwanamke anapenda baadae/akipendwa
Jmn nilijikaza lakini nilishindwa, sikua na hisia before na baada ya mahusiano kuisha sikuwa na hisia pia,
Na aligundua akavunja mahusiano kwa kusema siku ukipata unayempenda haya mahusiano yataota mbawa
Dah! Kumbe wanawake wenye hisia bado wapo, maana % kubwa ya wanawake ukiwapa pesa tu wanapata hisia hata kama hawakukupenda before
 
Kuamini watu kupita kiasi:
Naamini kabisa huwezi zungukwa na marafiki muda wote. Kuna wengine wanaokuzunguka si watu wazuri. Mfano watu ambao wanakusengenya na kukusemea mabaya. Watu ambao hawataki mafanikio yako.

Kuruhusu watu wajue mapungufu yako:
Wanafamilia au watu wa karibu pale wanapojua mapungufu yako wanayatumia kama fimbo ya kukuchapia. Angalia sana wa kumweleza mambo yako.
Hii kitu ilini cost, took me 2 years ku recover, sikuamini the same people i trusted ndio the same people wanataka udidimie.
Lilikuwa somo of a life time, since then i dont wish anybody apitie hapo
 
Dah! Kumbe wanawake wenye hisia bado wapo, maana % kubwa ya wanawake ukiwapa pesa tu wanapata hisia hata kama hawakukupenda before
Labda wanawake maskini/wenye tamaa,
Mi si tajiri ila hela za kumudu maisha sio tatizo japo napenda kupewa pia ntashukuru😃🙈
Nilikuwa natafuta mapenzi&hisia
 
Back
Top Bottom