Kihoronge
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 544
- 704
Wewe ndio uwe serious mkuu,30 umechelewa mno. Miaka ya kuoa ni 22 mpaka 25.30 nayo umechelewa? Ebu kuwa serious mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio uwe serious mkuu,30 umechelewa mno. Miaka ya kuoa ni 22 mpaka 25.30 nayo umechelewa? Ebu kuwa serious mkuu
niko geita mkuuPole. Tafuta hospital ya masister (esp ya kule tegeta)wanakuaga na dawa nzuri sana..all the best
Tafuta hosp za masista..pole sananiko geita mkuu
Pole sanaKuweka Bond gari zangu PLATNUM credit yale majaamaa makopeshaji pale Morocco. Ni majizi matapeli makubwa. Tafadhali ndugu zangu kamwe msiende kuwakopa wale washenzi
Umelipa deni?Kuweka Bond gari zangu PLATNUM credit yale majaamaa makopeshaji pale Morocco. Ni majizi matapeli makubwa. Tafadhali ndugu zangu kamwe msiende kuwakopa wale washenzi
Wanasemaga c ukubali yaishe?Daa nina makosa hadi najiona paka,,
Kuchagua kutanyia kazi wilaya ya nyumbani(unaogopa kuchanganyikana)
Kujiunga vicoba,saccos
kuoa kwa kuvuta/pasi kushirikisha
kuoa mapema
Kukopa pesa ndefu
Kubeti pesa ndefu tena kwa wachina(mbaya mnoo)!!
Kumpa uhuru sana mwanamke(mke wangu)
Kukubali kesi(ilikuwa inanikabiri) iishe ili twende kwenye bargain!!(bora ningekaza)!!
kutokupenda kusali,kujumuika na waumini!!
Huwa nataman nisingefanya gradu form 4Sio mbaya kuonyesha uwezo wako mbele za watu, ila kuwa makini kwani wengine si wema.
[emoji117]Uwezo in term of[emoji117]
[emoji117]Akili,kipaji,kazi au hata mafanikio
Imenikuta hii, na nimejifunza aisee. Hope nitachomoka katika hilii
Me too, buddhaHuwa nataman nisingefanya gradu form 4
mi yamenikuta mpaka elimu ikaishia nyumbani, nimekua jobless maisha hayasomeki ila huwezi amini ukiwa na akili unazo tu hazijifichi...Huwa nataman nisingefanya gradu form 4
Nakuelewa Sana madam princess ariana, hata Kama wataificha Sana ila mwisho watashindwami yamenikuta mpaka elimu ikaishia nyumbani, nimekua jobless maisha hayasomeki ila huwezi amini ukiwa na akili unazo tu hazijifichi...
The 48 law of power : Rule 1 Never outshine the master
Make your masters appear more brilliant
- Huwezi amini kuna mambo makubwa nmeyafanya pamoja na kulostika huko, ambayo kwa mawazo na utekelezaji watu yamefanikiwa kaa kiasi kikubwa! kama ni marks 100 mambo ambayo yalihitaji vichwa hata 30 mimi mwenyewe niliyapanga yakakaa sawa .. na imeniweka tena kwenye target.
ukiwa na kitu ndani yako huwa kipo tu, hata ukitupwa kwenye matakataka utang'ara ijapo nafasi ya kung'aa mana umezaliwa intelligent hio haifutiki
Sema tu ndio ukiwa umechoka sana mpaka maana ya maisha huioniNakuelewa Sana madam princess ariana, hata Kama wataificha Sana ila mwisho watashindwa
Mbona unasema hivyoo??, Maana ya maisha unajipa mwenyewe. Iwe kwa kazi,mpenzi, mume na hata familia inayo kuzunguka. princess ariana, beside nipo blacklist ep 7Sema tu ndio ukiwa umechoka sana mpaka maana ya maisha huioni
Kubeti ndani ya miez 2 milioni 4.5[emoji24][emoji24][emoji24]Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo.
Wakati nipo chuo mwaka wa tatu UDSM huko Tanzania nikipiga zangu Computer Science nilipata mchongo Nokia Siemens kuna mradi wa kusimika minara walikuwa wakifanya na walihitaji watu competent kwenye eneo la Network Systems nikapewa hiyo connection na nilipiga kazi kama mwaka hivi hela ilikuwa tamu ila bahati mbaya kuna rafiki yangu wa karibu sana (family friend) alipata majanga ya kifamilia kodi nyumbani ilimuishia.
Michongo alikuwa hana na mke wake alikuwa akiumwa sana aliniomba nimsaidie amalize suala lake la kodi nikamsaidia lakini baadae aliniomba nimkopeshe kama milioni 12 aende morogoro akafanye mishe za kilimo ila ndani ya miezi 7 atakuwa kasharejesha yote so kwasababu ya ukaribu wetu na jinsi nilivyomfahamu way back sikuwa na shaka na ombi lake..
Dah niliingia benki nikamtolea milioni 12 akanishukuru akasepa yaani toka nimempa hiyo pesa sikuwahi kummwona tena maishani nilimtafuta sana baadae hata mke wake naye akawa hapatikani nilienda kwao kupeleka malalamiko yangu lakini ni kama walinipoza tu kwa maneno mwisho nikachoka na kuamua kupotezea ila iliniuma hii mistake.. usimuamini kiumbe anayeitwa mtu kupita kiasi..
Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha nyuma cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze ili wasikosee?
ngumu sana sio rahisi.Mbona unasema hivyoo??, Maana ya maisha unajipa mwenyewe. Iwe kwa kazi,mpenzi, mume na hata familia inayo kuzunguka. princess ariana, beside nipo blacklist ep 7
Ninayoo season 1- 8. Ni Kali kinoma aisee, yule mzee reddington anajua.ngumu sana sio rahisi.
kumbe upo Movies 😄 napata shida kukariri ID za watu, hio Series nashindwa kuipata kabisa mana nachukulia library
ina session ngapi complete?? mimi nashishndwa kuipata tuNinayoo season 1- 8. Ni Kali kinoma aisee, yule mzee reddington anajua.
👉Halafu back to our topic, nini kinakufanya ujihisi hivyo👉
👉Umefilisika??, Ain't married yet or ulipata divorce ndo imekuvunja??
👉 princess ariana
👉Kuhusu series Ina Kama season 11ina session ngapi complete?? mimi nashishndwa kuipata tu
wewe mambo ni mengi ndugu yani mengi hayaelezeki hata
Nieleze vyovyote, mi nitajitahidi kuelewaa mpendwa, princess arianaina session ngapi complete?? mimi nashishndwa kuipata tu
wewe mambo ni mengi ndugu yani mengi hayaelezeki hata