ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Mikopo kwa watumishi wa umma ni kuliwa tu.Siku watumishi wakiamka benki zitalia.Hakuna benki inayolenga kukusaidia bali kukutafuna mpaka pumzi ya mwishoUlichukua ENZI hizo riba asilimia 22. Pole sana, kama halijaisha nenda kaliuze Crdb au pbz Wana asilimia 12 Sasa hivi, upunguze machungu hata ya milioni 2.