Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Najuta kuzaliwa afadhali nisingezaliwa mateso juu ya mateso
miaka 10 sasa naumwa ugonjwa usioeleweka sijui ni kansa ya ngozi ?
Nikienda hospitali madoctor wanasema siyo kansa napewa madawa tu siponi
namuomba Mungu achukue maisha yangu au aniponye lakini hakuna hata moja linalotokea
kweli dunia jalala

Pole sana mkuu. Mungu ana sababu na wewe jua hilo hivo usiache kumuomba na kumshukuru kwa zawadi ya uhai, ipo siku isiyo na jina utaamka bila ugonjwa mwilini.
 
kutapeli mademu aisee na kuwakimbia.
nimewafanyia Sana uhuni wanawake hasa wale walio nisumbua kipindi nawatongoza

nilitumia Hadi helazangu nyingi ili niongeze mashine kwaajili ya kuwakomoa mademu

ilifika kipindi nikimtomb demu harudi Tena geto hata nikimuahidi milioni Mana mashine kubwa +mkongo

mbaya zaidi nilikuwa nawarikodi kwasiri badae nawaonyesha masera.daaa ilikuwa makosa makubwa Sana

sasa hivi nishaacha ila natamani kurudia coz yalemaisha yalikuwa yakibabe Sana + kuinjoi na kila aina yademu na kumfanya kila uchafu ninaojua Mimi.
Agent of devil,
 
Kusoma shule ambayo sikupenda kusoma Ila nilienda kusoma kwa shinikizo la wazazi na ilini-cost maisha yangu yote ile shule sikuipenda kuanzia mkuu wa shule mpaka walimu wanaonifundisha

Umesoma Private umefaulu vizuri umepangiwa Sekondari ya Serikali na shule unayopangiwa haukuichagua kwenye machaguo yako iliuma sana alafu wazazi wanakomaa nenda hivyo hivyo usipingane na Serikali, balaa sasa kwenda kwenye shule kufanya ulinganishi huduma za kule Private na za Serikali ni tofauti kwanza vitabu vya kutosha hakuna, library haieleweki, maabara haieleweki experiment tunafanya kwa machale machale walimu nao hawaeleweki hadi karibia na mtihani ndio mwalimu anatokea kuja kufundisha kumbe anafundisha Private, vururuvururu mwisho ni ku-fail mazima wazazi hawaelewi mpaka waone matokeo,
 
Back
Top Bottom