Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Najuta kuzaliwa afadhali nisingezaliwa mateso juu ya mateso
miaka 10 sasa naumwa ugonjwa usioeleweka sijui ni kansa ya ngozi ?
Nikienda hospitali madoctor wanasema siyo kansa napewa madawa tu siponi
namuomba Mungu achukue maisha yangu au aniponye lakini hakuna hata moja linalotokea
kweli dunia jalala
Pole. Tafuta hospital ya masister (esp ya kule tegeta)wanakuaga na dawa nzuri sana..all the best
 
Back
Top Bottom