KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Hahaha hao kama una safari ya mbali wanafaa.. watakusaidia njiani kupunguza usumbufu usumbufu wa wenzao..!Kumpa askari polisi lift...
Sitarudia tena huu ujinga..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hao kama una safari ya mbali wanafaa.. watakusaidia njiani kupunguza usumbufu usumbufu wa wenzao..!Kumpa askari polisi lift...
Sitarudia tena huu ujinga..
Matuta ya Shekilango Road ni makubwa kama ugomvi.Na matukio mengi ila hili ni la kwanza, nilikua na week toka ninunue chuma. Nilikua bado na ule ulena sasa bhana unajua ukiwa na chuma kipya unakua na mapepe flani hv unaona kama foleni unachelewa hapo ushaanza kujua ku overtake kutembea na gari 100+ kwako ndo ujanja.
Sasa nilikua shekilango road napanda kutokea ustawi chuo pale niko spidi sasa pale mataa ya africa sana nikaona kijani ina count ipo 3 nikasema hapa nakanyaga wese niwai mataa aisee nikafanikiwa pita niko spidi balaa
kwa mbele ya mataa kama mita 50’hivi kuna tuta na nilikua sina hiyo idea kama kuna tuta aisee niko spidi balaa kufika pale nashtuka tuta hili break ikafeli aisee nilipaaa kama niko kwenye ndege nilibamiza gari sana kutua ikabd niingie kituon baada ya lile tuta. Nadhani mmepata picha lile tuta lilivyo kubwa.
Nashukuru Mungu gari ilikua salama sikuharibu chochote ilibd daladala aliyekuwa nyuma yangu ashuke kuniangalia alihis nimelewa lile tuta bila shaka wahanga ni wengi sana usiku huwa halionekani sana.
Mmeanza jf wote mna magari mfyuuuu[emoji57][emoji57]
Kwann mkuu?Kumpa askari polisi lift...
Sitarudia tena huu ujinga..
Shukrani sana aisee..Aiseeee pole mkuuu.
Hii ilikuwa ni risk sana.
Shukuru huyo mwenye Nissan naye hakuhama maana mngevaana uso kwa uso.
Ni DashCam gani hiyo unatumia?
View attachment 2183189
Namfukuza Ranger.. Ameshaingia kwenye radar yangu.. Kumbe kuna Lorry mbili kati.. Nikahisi ninaweza kuzimaliza.. Aisee Lorry la kwanza limeisha naona TD42 Civilian inapanda.. Breki nimeshachelewa nitagusa Lorry.. Ikabidi nidownshift gear niingie pembeni..!uzembe..
MUNGU ni mwema..!
Muda mrefu..Una uzoefu wa kuendesha gari barabara za kwenda mkoa kwa muda gani?
Maana ninachokiona hapa ni ukosefu wa uzoefu, sehemu ipo plain hivyo dereva mzoefu hawezi fanya kosa ulilofanya...
Mkuu pole sanaaNa matukio mengi ila hili ni la kwanza, nilikua na week toka ninunue chuma. Nilikua bado na ule ulena sasa bhana unajua ukiwa na chuma kipya unakua na mapepe flani hv unaona kama foleni unachelewa hapo ushaanza kujua ku overtake kutembea na gari 100+ kwako ndo ujanja.
Sasa nilikua shekilango road napanda kutokea ustawi chuo pale niko spidi sasa pale mataa ya africa sana nikaona kijani ina count ipo 3 nikasema hapa nakanyaga wese niwai mataa aisee nikafanikiwa pita niko spidi balaa
kwa mbele ya mataa kama mita 50’hivi kuna tuta na nilikua sina hiyo idea kama kuna tuta aisee niko spidi balaa kufika pale nashtuka tuta hili break ikafeli aisee nilipaaa kama niko kwenye ndege nilibamiza gari sana kutua ikabd niingie kituon baada ya lile tuta. Nadhani mmepata picha lile tuta lilivyo kubwa.
Nashukuru Mungu gari ilikua salama sikuharibu chochote ilibd daladala aliyekuwa nyuma yangu ashuke kuniangalia alihis nimelewa lile tuta bila shaka wahanga ni wengi sana usiku huwa halionekani sana.
Mbona ndo njia yangu daily....hilo tuta mbona sijakumbana nalo[emoji849][emoji848]Na matukio mengi ila hili ni la kwanza, nilikua na week toka ninunue chuma. Nilikua bado na ule ulena sasa bhana unajua ukiwa na chuma kipya unakua na mapepe flani hv unaona kama foleni unachelewa hapo ushaanza kujua ku overtake kutembea na gari 100+ kwako ndo ujanja.
Sasa nilikua shekilango road napanda kutokea ustawi chuo pale niko spidi sasa pale mataa ya africa sana nikaona kijani ina count ipo 3 nikasema hapa nakanyaga wese niwai mataa aisee nikafanikiwa pita niko spidi balaa
kwa mbele ya mataa kama mita 50’hivi kuna tuta na nilikua sina hiyo idea kama kuna tuta aisee niko spidi balaa kufika pale nashtuka tuta hili break ikafeli aisee nilipaaa kama niko kwenye ndege nilibamiza gari sana kutua ikabd niingie kituon baada ya lile tuta. Nadhani mmepata picha lile tuta lilivyo kubwa.
Nashukuru Mungu gari ilikua salama sikuharibu chochote ilibd daladala aliyekuwa nyuma yangu ashuke kuniangalia alihis nimelewa lile tuta bila shaka wahanga ni wengi sana usiku huwa halionekani sana.
Ndio mkuuKwani hili si jukwaa la wenye magari Wit?
Kwahiyo wote wanaochangia mada jukwaa la siasaeni wanasiasa.Mmeanza jf wote mna magari mfyuuuu[emoji57][emoji57]
Gari siyo chupi mkuu.Muwe mnataja na aina ya gari..mana utakuta mwenye ki baby Walker naye anajitutumua.
#MaendeleoHayanaChama
Mbona ndo njia yangu daily....hilo tuta mbona sijakumbana nalo[emoji849][emoji848]
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuuKwahiyo wote wanaochangia mada jukwaa la siasaeni wanasiasa.
Jukwaa la afya wote Ni madaktari kule.
Mada hapa Ni kwa wenye magari na ulishafanya kosa gani barabarani. Unataka kutuambia memba wote was jf wamekomenti hapa.
Jione we huna gari, Ila wengine wanayo.
Km vile una kawivu flani ivi.
Furaha yako Ni kuona watu hawachangii chochote basi ufurahi kwamba watu hawana magari.
Una mawazo ya kimaskinie.
Sasa mbona unanishushua si unieleweshe tu?[emoji848][emoji849]Umesoma vzr au umeparamia reply?
Ata kama gari ilikuwa ni ya kuazima, ila ulifanya kosa binafsi la ovyoSasa mbona unanishushua si unieleweshe tu?[emoji848][emoji849]
Mi bhana siku niko speed na v8 mara ghafla nikapishana na lori si ikabidi mimi mle ndani nikwepeshe kichwa (kama nakwepa ngumi)nikajikuta porini tyre zinazunguka hewani zoteEbana mimi siku moja nikiwa fuel station si nikakosea njia ya kutokea bana , nika pita katikati ya zile pipe /mashine zile za kiwekea mafuta.
Eh bwana eh kitu kikachubuka chubuka japo body haiku bonyea bonyea.
kwani vibaby walker ni baskeli....Muwe mnataja na aina ya gari..mana utakuta mwenye ki baby Walker naye anajitutumua.
#MaendeleoHayanaChama