Ni Kosa gani la ovyo ulilowahi kufanya tangu uanze kuendesha gari?

Ni Kosa gani la ovyo ulilowahi kufanya tangu uanze kuendesha gari?

Gambe na Chombo haviendani nshakulaga mizinga mitatu tofauti tofauti ila wa mwisho ulikua BabaLao mpaka nikajifunza Funzo kubwa sana.

Funzo: Speed & Alcohol.

Nikiwa nadrive hata iweje sigusi kilevi.

Nikigusa kilevi au niwe Sober siruhusu mtu aliyekunywa aniendeshe.

Haijalishi nakwenda wapi Speed mwisho ni 120km/h.
 
Niko masaa kwenye zile panda shuka ukiwa wakaribia mikumi ukiwa watokea Iringa,kwa mbaliii nikaona mbwa inavuka barabara na amemaliza yuko kwenye ile chaki ya njano anaingia zako kwenye majani huko,moyoni si nikasema ameshavuka tyri anaenda zake porini so sikupunguza mwendo....bwana weeee ile nafika karibu tu si akatoka tena kurudi barabarani hata maji hakuomba,toka hapo hata nione kuku anavuka huwa si assume kabisa maana bumper ilivunjika ikawa hasara tu
 
Kuku. Mbwa. Bata. Mbuzi huwa nafyeka tu.

Siangalii hata nyuma.

Mifugo yako weka ndani, usituletee highway.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mmenikumbusha mbali niliwah kugonga ngombe alikuw akivuka barabar nikiwa kigamboni na gari ya kuazima si unajua ukaiazm ndinga kila mtu akuone speed kali n mziki mnene dah we acha kam naota.
 
Jana usiku bana nimetoka zangu Tabora kama saa kumi na mbili na robo hivi jioni nimetembea sana mpaka saa mbili kasoro hivi nipo Itigi. Sasa pale itigi nikaona kibao cha round kinachoonyesha kuwa kuna round about ambayo moja inaenda mbeya, nyingine na huku Manyoni. Nikapunguza mwendo fresh nikiamini kuwa nikikaribia pale round about nitakuta kuna ile mishale ya round about inayoashiria kuwa hapa ndo round about kumbe hakuna. Sasa hapo kati ikatokea tu nikajisahau nakuja kutahamaki round about hii hapa, bahati nzuri sikuwa speed sana so nikashika break ghafla na kulazimisha kona. Nachoshukuru Toyota Allex zipo stable sana chini la sivyo nilikuwa napinduka pale
 
Mmeanza jf wote mna magari mfyuuuu[emoji57][emoji57]
Haaa...[emoji28][emoji28][emoji28]
Tuache kidogo...
Humu kila mtu ana ndinga kali.
Kila mtu ana kazi au biashara nzuri..
Kila mtu ni handsome [emoji85]
Kila mwanadada ni pisi kali..
Kila mtu ana nyumba
Kila mtu amesoma moaka university..

Yaani humu hamna mnyonge..[emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23] hataree

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jana usiku bana nimetoka zangu Tabora kama saa kumi na mbili na robo hivi jioni nimetembea sana mpaka saa mbili kasoro hivi nipo Itigi. Sasa pale itigi nikaona kibao cha round kinachoonyesha kuwa kuna round about ambayo moja inaenda mbeya, nyingine na huku Manyoni. Nikapunguza mwendo fresh nikiamini kuwa nikikaribia pale round about nitakuta kuna ile mishale ya round about inayoashiria kuwa hapa ndo round about kumbe hakuna. Sasa hapo kati ikatokea tu nikajisahau nakuja kutahamaki round about hii hapa, bahati nzuri sikuwa speed sana so nikashika break ghafla na kulazimisha kona. Nachoshukuru Toyota Allex zipo stable sana chini la sivyo nilikuwa napinduka pale
Usirudie kushika breki kwenye kona
 
Haaa...[emoji28][emoji28][emoji28]
Tuache kidogo...
Humu kila mtu ana ndinga kali.
Kila mtu ana kazi au biashara nzuri..
Kila mtu ni handsome [emoji85]
Kila mwanadada ni pisi kali..
Kila mtu ana nyumba
Kila mtu amesoma moaka university..

Yaani humu hamna mnyonge..[emoji28][emoji28][emoji28]
Malizia kila mtu bao la kwanza anaenda zaidi ya nusu saa
 
Sasa ningefanyaje na nilikuwa speed. Nilishika breki ghafla then nikaachia ili nipige kona
Broo ni hatari coz kuna kitu inaitwa centrrifugual force, inavuta nje ya kona, hapo kuna mawili ku roll up ama ku yaw coz kuna force inayotoka from the center of your round about ikisukuma gari kuitoa nje so unaposhika break inakuwa na nguvu zaidi , bora kuongeza speed ili gari ishike lami
 
Haaa...[emoji28][emoji28][emoji28]
Tuache kidogo...
Humu kila mtu ana ndinga kali.
Kila mtu ana kazi au biashara nzuri..
Kila mtu ni handsome [emoji85]
Kila mwanadada ni pisi kali..
Kila mtu ana nyumba
Kila mtu amesoma moaka university..

Yaani humu hamna mnyonge..[emoji28][emoji28][emoji28]
Je kama ni gari ya kampuni, au dereva wa basi?
Hapa watu wanatoa experience sio kujikweza.
 
View attachment 2183189
Namfukuza Ranger.. Ameshaingia kwenye radar yangu.. Kumbe kuna Lorry mbili kati.. Nikahisi ninaweza kuzimaliza.. Aisee Lorry la kwanza limeisha naona TD42 Civilian inapanda.. Breki nimeshachelewa nitagusa Lorry.. Ikabidi nidownshift gear niingie pembeni..!uzembe..
MUNGU ni mwema..!

Duuh hatari boss
 
Back
Top Bottom