Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Labda mjeda nitambeba kiroho safi...Hahaha hao kama una safari ya mbali wanafaa.. watakusaidia njiani kupunguza usumbufu usumbufu wa wenzao..!
Siwapendi kwa uonevu wao...Kwann mkuu?
Ila hapo mkuu umetoa gari kizembe kwa kweli daah kati ya jambo nililojifunza haswa kwenye barabara kubwa ni hakuna kumgeza wa mbele yako hata kama mnaligi lazima nione mbele kinachokuja hapo ungekya barabara za mbeya tungeshakusahauView attachment 2183189
Namfukuza Ranger.. Ameshaingia kwenye radar yangu.. Kumbe kuna Lorry mbili kati.. Nikahisi ninaweza kuzimaliza.. Aisee Lorry la kwanza limeisha naona TD42 Civilian inapanda.. Breki nimeshachelewa nitagusa Lorry.. Ikabidi nidownshift gear niingie pembeni..!uzembe..
MUNGU ni mwema..!
Katika jambo hautakiwi kulifanya ni kuhama upande..stay on your lane...Hahahaha 😂😂😂😂🤣 nimecheka sanaaaaa!!! Jinsi ulivyoingia CHA KIKE...kwahiyo ulivyogusa upande WA kushoto uliwasha taa au?.
Mwaka Jana na Mimi nilijichanganya kipindi naenda mwanza nakumbuka gari ilikuwa speed 120 alafu nikashindwa kubalance speed na Kona ingawa Ile Kona haikuwa Kali Ila niliamini gari inalala vizur,aisee Ile Kona ilikuwa ya upande WA kushoto kwahiyo ilinazalimu nikae kulia kabisa upande WA pili ili kuipunguza makali.
Abiria walikuwa hawajui lolote linaloendelea Ila Ile situation ilikuwa mbaya sanaa maana Akili ilishakata Tamaa
wako sahihi,ikiwa ni yenye mkanda nyuma haina shida[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe traffic wako sahihi kushauri kutovaa hizo sendoz au kandambili
Option uliyochagua ilikua very risky, bora ungekubali kuvamia roli. Dereva wa Costa asingeelewa kinachoendelea mngekutana face to face.View attachment 2183189
Namfukuza Ranger.. Ameshaingia kwenye radar yangu.. Kumbe kuna Lorry mbili kati.. Nikahisi ninaweza kuzimaliza.. Aisee Lorry la kwanza limeisha naona TD42 Civilian inapanda.. Breki nimeshachelewa nitagusa Lorry.. Ikabidi nidownshift gear niingie pembeni..!uzembe..
MUNGU ni mwema..!
Mzee hapa ulikua mtungiMsitubague wenye pikipiki.
Nilivuta accelator ya pikipiki kwa bahati mbaya wakati pikipiki ipo silence halafu pembeni kuna mfereji. Kilichotokea acha tu.
View attachment 2184461
Ndiyo hivyo kwenye kijitetea mkuu nashukuru upande WA pili hapakuwa na gari inayokujaKatika jambo hautakiwi kulifanya ni kuhama upande..stay on your lane...
Kama title inavyosema.. Kosa la ovyo..!Ila hapo mkuu umetoa gari kizembe kwa kweli daah kati ya jambo nililojifunza haswa kwenye barabara kubwa ni hakuna kumgeza wa mbele yako hata kama mnaligi lazima nione mbele kinachokuja hapo ungekya barabara za mbeya tungeshakusahau
Aisee Nilivae Lorry..!!ningeonekana learner kabisa.. Nashindwa kufanya maamuzi ya haraka kwenye hatari.. Option ya pembeni ndio imesave..Option uliyochagua ilikua very risky, bora ungekubali kuvamia roli. Dereva wa Costa asingeelewa kinachoendelea mngekutana face to face.
Kongole kwa dereva wa costa.
Nilishtua kidogo kwa Mama Muuza.Mzee hapa ulikua mtungi
Wenye dualis , utawajua tu 😉)Mbona ndo njia yangu daily....hilo tuta mbona sijakumbana nalo[emoji849][emoji848]
Heee[emoji849][emoji849]Wenye dualis , utawajua tu 😉)
[emoji38][emoji38]Ni wivu tuMmeanza jf wote mna magari mfyuuuu[emoji57][emoji57]
*****[emoji23][emoji23][emoji23]Me mwaka 2020 hapo nipo na gari jipya (kwangu jipya), sasa nikaona ngoja nilionje maana speed 260 wapi hapa Dar nitaitest, nikaenda Tanga kupitia Bagamoyo.
Baada ya siku mbili nikarudi. Sasa njiani nikasema ngoja nijaribu kupiga kibati hadi mwisho. Mvua ilikua imetoka kunyesha barabara ina madimbwi dimbwi ya maji.
Nikatafuta mahali njia imenyooka. Bwana nikakoleza kibati hadi 200 hivi. Kwa bahati mbaya nikapishana na Roli kubwa sasa ile likarusha maji yakajaa kwenye kioo cha mbele.
Ile kupanic nikataka kuwasha wiper zipunguze maji, sasa hapo nimetoka kutumia gari la Toyota nimehamia Mjerumani, aisee Toyota wipers zipo kushoto hafu taa kulia, mjerumani kinyume chake, dah aisee nilipanic sioni kitu mbele hafu nipo kibati mbaya.
Nashukuru Mungu njia ilikua imenyooka na haina magari zaidi ya ilo roli tuliopishana. Ilipokuja kukubali wipers nilirudisha speed maximum 80 aisee.
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Mi bhana siku niko speed na v8 mara ghafla nikapishana na lori si ikabidi mimi mle ndani nikwepeshe kichwa (kama nakwepa ngumi)nikajikuta porini tyre zinazunguka hewani zote