Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Hakuna udini hataGentleman,
elezea kinagaubaga bila hofu chimbuko la chadema kuwabagua wazanzibari hususani walio uongozini Tanzania na kuwadhalilisha kijinsia hadharani na kwenye mitandao ya kijamii?
na kwanini chadema haiwapendi waisilamu kwenye uongozi wake, mathalani kamati kuu taifa?π
maana yake chadema wanafanya na walikua wakifanya maandalizi ya kukosa kura za waisilamu Bara na Visiwani right?Ni udini tu
Tokea Mbowe aondoke chama kimekuwa cha walokole ndio maana kinakosa ushawishi hata kwa wakristo moderate
hebu iandikie uzi mahususi jukwaani hiyo porojo yako gentleman, bila kuhamisha mjadala mahususi uliopo jukwaani na itapendeza zaidi, right?πHatujawahi kusikia Rais wa Zanzibar akiwa Mkristo! Vipi huko hakuna kabisa Wakristo?
Wamejiaminisha kuwa wana idadi kubwa ya wakristo hivyo hawana shida na kura za waislamu, na ndivyo CUF ilivyoaamini at least walishinda Zanzibar.maana yake chadema wanafanya na walikua wakifanya maandalizi ya kukosa kura za waisilamu Bara na Visiwani right?
Maana wanawabagua,
Halafu wasingizie kuibiwa kura wakati wa uchaguzi π
Lakini chadema target yao ni kuwabagua wazanzibari na kuwachukia waisilamu.Ungesema wanzabar na sio Muslim cos Zanzibar kuna mixer yaani kuna Christian na Muslim people.....
......π€....
andikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi.Mkuu leo la Heche kula michango umeliweka kando, umeamua kuja na hili?π
ni makosa makubwa mno ya kisiasa wameyafanya hawa wangwana.Wamejiaminisha kuwa wana idadi kubwa ya wakristo hivyo hawana shida na kura za waislamu, na ndivyo CUF ilivyoaamini at least walishinda Zanzibar.
Ila chadema hawa hawaendi popote, watabaki kuwa chama cha harakati
πsi mchezo π
Check pm kiongozi Tlaatlaah mkuusi mchezo π