πππππangalau chadema hata walijaribu kuwa na some muslims kwa mf. Mwalimu na wengineo hata yule aliyeuliwa Kibao nafikiri alikuwa muslim pia lkn vp je khs cuf ? ilikuwa na Christians? na enzi zao cuf was big, na only muslims voted for cuf, mbona hilo hamlioni? ...
Chadema haikubariki kabisa Zanzibar.Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.
But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
Right!kwasababu ya ubaguzi na chuki zao dhidi ya wazanzibari, right?π
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.
But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
nadhani mfano wako unaweza kua umejifichga mno gentlemanUlikuwepo enzi za G55 1993 ??? Ulijua kuwa Dr Salmin Amour Rais wa Zanzibar miaka hiyo, CCM ndiye aliyeanza kuwabagua Watanganyika ?
Unajua majibu ya wabunge Watanganyika shupavu akina Njelu Kasaka, (marehemu) Philip Marmo, Kashemeza Kabuye, Tuntemeke Sanga and others wote CCM walichokifanya ?
Kama sio Nyerere kuokota jahazi la Chama leo huo muungano wa kikatili ungekuwa kaburini.
Wenye chuki ni wazanzibar wabaguzi, wadini na wauzaji.
kwahiyo matusi na dhihaka za waziwazi kabisa za chadema hasa kutoka kwa viongozi wa chadema taifa dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania waliotoka upande wa zanzibar sio ubaguzi right?Acha propaganda chafu dhidi ya chadema. Sheria za nchi haziruhusu chama cha siasa kuwa cha kibaguzi
nadhani mfano wako unaweza kua umejifichga mno gentleman
na wadau wengi wa JF wanaweza wasikuelewe kabisa ukilinganisha na hali ya ubaguzi wa chadema kwa wazanzibari na waisilamu unaofanya waziwazi kabisa nyakati hizi za sayansi na teknolojia
Yes gentleman,,Hata wewe huwezi kunielewa, sababu tofauti zetu na wewe ni mbingu na ardhi.
Wewe unaandika kishabiki, kisiasa kipropaganda kiuongo uongo kichuki chuki
Mimi naeleza the real life.
Hakuna Mtanganyika hata mmoja aliyewahi, anayeweza na atakayembagua Mzanzibar, ila tazama Watanganyika wanavyotendewa kule Zanzibar ni aibu kwa muungano feki.
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.
But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,Bila shaka we ni mfanyakazi wa CCM kitengo cha propaganda. Uko kazini na unafanya majukumu yako ili upate mkate
huo ubaguzi mbona sisi hatuoni?gentleman,
mimi na wewe ni wadau wa kawaida tu wa JF, right?
binafsi,
nimechagua kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu. Na ikiwa hiyo ni propaganda, kwakweli nitaifanya kwa bidii zaidi, kwasababu ubaguzi wa chadema dhidi ya viongozi wa serikali kutoka zanzibar ni jambo la fedheha sana na inasikitisha sana aise
Unatoa kuwajuwa ili muwateke?Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.
But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hiyo mnawateka na kuwabambika kesi ni wapi?kwani watukanaji na waporomosha matusi hawajulikani gentleman? si chadema wote