Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

Ndugu yangu.. umeongea point kubwa sana, lakin tatizo la wachangiaji asilimia 90% hawakuelewi. Wengi wao wamejaa ubaguzi, ukabila,ujinga,uzandiki,majungu na roho mbaya. Hivyo vitu vime block bongo zao na hawawezi ona kilicho sahihi. Tuna safari ndefu sana
 
Hakuna aliekataa hili na wala hujaelewa point ya mtoa mada, hakuna mtu yoyote humu aliesema wahindi wote zaidi ya bilioni 1 ni smart kuliko wa Tanzania milioni 60, wao pia wana vilaza kibao,

Point hapa Mkuu wame influence mambo mengi ya hii nchi na bado wana influence. Kutafuta muhindi fulani Sababu ni kilaza unashindwa kujibu hoja.
 
Hata wachaga, wakinga na makabila mengine makubwa Yana fanya kwa manufaa yao, hakuna mtu anaefanya biashara ama kukupa kitu fulani kwa manufaa yako.

Unachotakiwa wewe ni kutengeneza mazingira ya win-win situation,

Mfano hao wahindi watoe biashara zao Sababu wao ndio wanachangia kodi kubwa ina maana hata walimu kule kijijini hawatapata mshahara,

Na mtu mkubwa alieanza kufanya Nao Kazi ni Raisi wa Awama ya kwanza JK Nyerere,
 
Hawa watu wanaubaguzi mkubwa sana zidi ya watu weusi, ukiwapa nafasi hawataangalia kufanya kazi kwa bidii na kwa manufaa ya nchi bali kwa manufaa ya jamii Yao, Pamoja na kuwepo hapa kwa miongo mingi hawajawahi kuchanganyikana na wenyeji, ukitaka kuwatumia ni lazima uwe na usimamizi Mkubwa na wa karibu kuhakikisha hawavuki mstari, US,Uk haifaidi nao bali wao ndio wananufaika na bado wanajitenga.
 
Mbona atuwaoni kwenye ualimu,askari magereza,polisi,jeshi,madereva wa STK nk
 
HAWA JAMAA WAKO VIZURI SANA KWENYE SEKTA YA FEDHA TATIZO LAO HATA AISHI MIAKA 100,MENTALY HAIACHANI NA INDIA NA CANADA,LAKINI TATIZO HUENDA NI SISI WATANZANIA NA WAGANDA TULILIANZISHA.
*waliwahi kumbeba IDD AMIN.
 
Na kwanini wanapenda kukaa kwenye nchi zenye siasa uchwara?
Mimi na wahindi tofauti lkn ukweli wahindi walio kuja East Africa hawakuja by choice waliletwa na Mwingereza kujenga reli kwahiyo unao waona hapaTanzania wapo wapo tu INDIA hawakubaliki vile vile TANZANIA mnawazingua kwahiyo wapo katikati.Ukweli kwamba huyu MWENGEREZA nafikiri na SPAIN Wamewaze-confused jamii nyingi sn.

Mfano:- African-America unaona wanavyo pata taaba hapa America japo kuwa wao ndio wamajengo America. Sera zilizopo ni zakumkandamiza mtu mweusi tu.

South America vile vile mtu mweusi hana thamani yoyote nk.
 
Hapa sio india
 
Wadosi na walebanon sio wa kupewa cheo chochote kwenye serikali Kwa kuwa ni wajanjawajanja sana
Nalog off
 
stress za uzee zinakumaliza. Maana maisha yanakuchapa.
Mimi ukifuatilia ni kua nimekupinga ukisema wahindi hawana akili. Sasa kwa IQ ya bintiyo wa 4 yo umenibambikia hoja ya kua what have Indians done to us which is off the argument ulio quote from me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…