Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Hakuna jina linalolipita jina la YesuUnamaanisha Majina mengine hayaishi?
Au tuseme Majina mengine hayana mamlaka kuzidi Jina Hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jina linalolipita jina la YesuUnamaanisha Majina mengine hayaishi?
Au tuseme Majina mengine hayana mamlaka kuzidi Jina Hilo?
Hakika hallelujahMamlaka zote ziko kwa Yesu. Mbinguni na duniani.
Baada ya Yesu kupaa Mbinguni,
Mbona Jina lake Hadi Leo Lina mamlaka ya kufukuza mapepo na kuponya magonjwa?
Fafanua hapo.
Ukristo sio dini.Kumjuwa Mungu hakuhitaji dini na hata Yesu hakuleta dini, hata Ukristo siyo dini ila imelazimishwa tu kuitwa dini.
Wee bwana nawewe kichwani umekuwa brainwashed kabisaaaaa, sasa mapepo gani mnatoa kwa watu haohao kila jumapili?. Inamaana mtu kila akirudi tu nyumbani anayavaa mapepo?Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Jina la Isa limewekwa kimkakati maalum.Imagine tungekua tunasema "KWA JINA LA NABII ISSA PEPO TOKA!" Hivi yangekimbia kweli au ndo yangevuta sofa yakae yanakutazama kwa bashasha
Waandishi wa Quran wamechakachukwa Torati, zaburi na injiri.Imagine tungekua tunasema "KWA JINA LA NABII ISSA PEPO TOKA!" Hivi yangekimbia kweli au ndo yangevuta sofa yakae yanakutazama kwa bashasha
Na stori zinasema mmiliki wa hilo jina alidanja kwa misumari.
Yani wanatuambia jina lake ni kinga lakini wanasahau kuwa huyo mwenye jina pia aliwahi kukutana na msala
Na hilo jina lake halikuweza kumsadia kuepuka misumari pale alipobananishwa kwenye angle za wayahudi.
Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje na mahubiri yao.
Mungu alimtuma yeye, na kupitia yeye kazi ya Mungu inatendeka. Pia, yeye ndie aliyeagiza hivyo!Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Kwa mujibu wa Bibilia Yesu na mitume waliondoa mapepo, je hao walioondolewa mapepo walikuwa waafrika?Na kwa nini ni waafrika tu ndiyo wenye hayo mapepo yanayofukuzwa na Yesu?
Na katika waafrika, kwa nini mengi yapo kwa wanawake?Na kwa nini ni waafrika tu ndiyo wenye hayo mapepo yanayofukuzwa na Yesu?
Hizi imani aisee changamoto sana sasa fikiria mtu anaamini kuna mapepo na maisha yake yote anahangaika kuyafukuza kwa kutumia majina ya watu huna inshu nyingine za kufanya?. Je vipi hao ambao hawaanini hayo mapepo wanaishije mbona mishe zinaenda tu!Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Joshua 7:6,joshua alipigiza komwe,mwanzo 17:3 ibrahim alipigiza komwe, kutoka 34:8 musa alipigiza komwe, numbers 16:22 aaron alipigiza komwe,matayo 26:39 yesu alipigiza komwe, Quran 2:133 waislam wanapigiza komwe,wewe ibada ya kupiga kelele na kulia umeitoa wapi?Ninyi ubongo umesheki.
Kazi ya KUINAMA na kupigiza ardhi kwa kutumia KOMWE so nyepesi..
Sisi hatupigi kelele kama vichaa mkuuWavaa makobazi wanasoma huku wamenuna🤣