Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Baada ya Yesu kupaa Mbinguni,

Mbona Jina lake Hadi Leo Lina mamlaka ya kufukuza mapepo na kuponya magonjwa?

Fafanua hapo.

Anayefukuza Mapepo sio Yesu, anayefukuza Mapepo ni Mungu; lile jina lake ni NJIA tu ya kumfikia Mungu na ukitaka uyafukuze mapepo vizuri omba hivi
" Ee Mungu kwa mamlaka uliyompa Yesu ya kufuyafukuza mapepo naomba haya mapepo yatoke........
Japo watu huomba kwa kifupi , kwa jina la Yesu mapepo toka.......na kama unaimani yanatoka kwa sababu, umemfikia Mungu kupitia jina la Yesu (Jina la Yesu ni NJIA ya kumfikia Mungu)
 
Kumjuwa Mungu hakuhitaji dini na hata Yesu hakuleta dini, hata Ukristo siyo dini ila imelazimishwa tu kuitwa dini.
Ukristo sio dini.
Bali ni imani ya kufuata mafundisho ya Yesu.

Warumi 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.

Yesu alifundisha watu wote bila kuangalia Dini zao.
Watu wote tunapaswa kuwa Wakristo bila kujali tofauti zetu.
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Wee bwana nawewe kichwani umekuwa brainwashed kabisaaaaa, sasa mapepo gani mnatoa kwa watu haohao kila jumapili?. Inamaana mtu kila akirudi tu nyumbani anayavaa mapepo?
 
Imagine tungekua tunasema "KWA JINA LA NABII ISSA PEPO TOKA!" Hivi yangekimbia kweli au ndo yangevuta sofa yakae yanakutazama kwa bashasha
 
filipi 2:9-11

9.Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; 10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
 
Imagine tungekua tunasema "KWA JINA LA NABII ISSA PEPO TOKA!" Hivi yangekimbia kweli au ndo yangevuta sofa yakae yanakutazama kwa bashasha
Jina la Isa limewekwa kimkakati maalum.
Sio jina la Kiarabu wala Kiswahili.
Hivi hali itakuwaje kama Imamu atataja jina la Yesu katika Ibada ndani ya Msikiti.
Lazima utatokea mtafaruku mkubwa kwa waumini.
Ndio likawekwa jina la Isa
 
Imagine tungekua tunasema "KWA JINA LA NABII ISSA PEPO TOKA!" Hivi yangekimbia kweli au ndo yangevuta sofa yakae yanakutazama kwa bashasha
Waandishi wa Quran wamechakachukwa Torati, zaburi na injiri.

Kwenye Quran Yesu wanamuita Issa bin Mariam/ Masiah siyo kwa bahati mbaya but purposely kwa sababu majini yanaswali msikitini.
 
Na stori zinasema mmiliki wa hilo jina alidanja kwa misumari.

Yani wanatuambia jina lake ni kinga lakini wanasahau kuwa huyo mwenye jina pia aliwahi kukutana na msala

Na hilo jina lake halikuweza kumsadia kuepuka misumari pale alipobananishwa kwenye angle za wayahudi.

Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje na mahubiri yao.

Bado hujamaliza hiyo story, Huyo aliepigwa misumari alikuja kufufuka (Alishinda kifo) swali Je Muhamedi alishawahi kufanya muujiza wowote tangu aje ulimwenguni? Alishawahi kufa akafufuka? Ni wapi quran inasema jamaa alikufa akafufuka zaidi ya masiha?
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Mungu alimtuma yeye, na kupitia yeye kazi ya Mungu inatendeka. Pia, yeye ndie aliyeagiza hivyo!
 
Kila dini, tamaduni au cult Fulani ina namna yake ya kuondoa hao waitwao majini wachafu, hivyo njia zinatofautiana. Sema fikra zetu zimefungwa na hizi dogma beliefs.
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Hizi imani aisee changamoto sana sasa fikiria mtu anaamini kuna mapepo na maisha yake yote anahangaika kuyafukuza kwa kutumia majina ya watu huna inshu nyingine za kufanya?. Je vipi hao ambao hawaanini hayo mapepo wanaishije mbona mishe zinaenda tu!

Aiseeeee!!!!
 
Ninyi ubongo umesheki.

Kazi ya KUINAMA na kupigiza ardhi kwa kutumia KOMWE so nyepesi..
Joshua 7:6,joshua alipigiza komwe,mwanzo 17:3 ibrahim alipigiza komwe, kutoka 34:8 musa alipigiza komwe, numbers 16:22 aaron alipigiza komwe,matayo 26:39 yesu alipigiza komwe, Quran 2:133 waislam wanapigiza komwe,wewe ibada ya kupiga kelele na kulia umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom