GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na PhD's (Doctorate) ili zije ziisaidie Taasisi lakini badala yake Taasisi hiyo inawaambia Watendaji wao Wajisomeshe wenyewe kwani hawana Hela.