Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

Watu wanatumia drewa nadhan badala ya mchanga figure zako zipo sahihi sana mkuu japo bado ni on the high side sababu naamini mkuranga material zote zinatoka mbali ukiacha mchanga.
Kwa Nini nasema haikuzidi 14m? Ni kwa sababu material yoote client alikuwa ananunua yeye. Kwa hiyo sijui gharama halisi alizotumia kununua material. Ila Kama ningesimamia kila kitu Mimi, msingi isingezidi 12M.
 
Ghorofa ya milioni 64 sidhani kama ipo legal.
Tuongee tu ukeeli kwa sababu hata Brevis za milioni 3 zipo nyingi tu Ila mtu akikuuliza Brevis Bei gani tutamwambia 10mil on average kwa bongo.
 
Watu wanatumia drewa nadhan badala ya mchanga figure zako zipo sahihi sana mkuu japo bado ni on the high side sababu naamini mkuranga material zote zinatoka mbali ukiacha mchanga.
tajiri mfilisika wa ma bus upo?
 
Wengine ni hobby tu ya kuwa tofauti na hasa Kama pesa ya kujengea imekuja kimchorochoro flani hivi. Ingawa wengi Wana under estimate gharama za kujenga ghorofa as result zinawasumbua Hadi wanajuta.
Daah hili jiwe limetua utosini kwangu mkuu, yaani najuutaa kwa nini nilianza....
 
Ghorofa ya milioni 64 sidhani kama ipo legal.
Tuongee tu ukeeli kwa sababu hata Brevis za milioni 3 zipo nyingi tu Ila mtu akikuuliza Brevis Bei gani tutamwambia 10mil on average kwa bongo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmh, that's way too much. 45mil kwa foundation tu, tena nyumba ya familia tu? Hiyo imejengwa kibosile sana.
Yes. Na material tunanunua wenyewe kwa watu tunaowajua. Si unajua ile cha juu? Hamna hapo. Ni ya kawaida kama zingine tu ila kila chumba masters, dinnin, store, studying room. Yaan zile.essentials za nyimba basi ndo hivyo2. Na hii ni 55 imeenda. Kama kuna utofauti basi sijui ndo najifunza sasa. Natamani kuiona hiyo ya mil 14 msingi ikoje
 
Hongereni mkuu, 55mil kwa budget zetu za mtaani nyumba ingekuwa imefika mbali mno. Ningeweka roughly 20-25mil kwa foundation tu mkuu, japo landscape inachangia, aina ya udongo, mafundi unaotumia, mazingira uliyopo nk. Factors ni nyingi.
 
Usikubali kujengewa foundation ya ghorofa kwa 14mil. Ghorofa ni foundation.
Ukiharibu hapo, utajuta.
 
20-25 Mbona kawaida. Hi nakubaliana nayo lakini 45 sishangai hata kidogo.
 
Mkuu 55mil ni kibosi sana, au mazingira yanachangia pia, manake gharama za nyumba inayojengwa Masaki ni tofauti kabisa na ile inayojengwa Kiluvya, hata ukiweka vitu vingi constant.
 
Usikubali kujengewa foundation ya ghorofa kwa 14mil. Ghorofa ni foundation.
Ukiharibu hapo, utajuta.
Na ndo nachokijua. Ndo maana nasema nimetaman kujua hiyo foundation ya mil 14 imefananaje
 
Mkuu 55mil ni kibosi sana, au mazingira yanachangia pia, manake gharama za nyumba inayojengwa Masaki ni tofauti kabisa na ile inayojengwa Kiluvya, hata ukiweka vitu vingi constant.
Hii ni mbezi beach makonde
 
Ghorofa ya milioni 64 sidhani kama ipo legal.
Tuongee tu ukeeli kwa sababu hata Brevis za milioni 3 zipo nyingi tu Ila mtu akikuuliza Brevis Bei gani tutamwambia 10mil on average kwa bongo.
Tanua mabawa mkuu, utanishukuru baadaye ,winners don't do different things , they just do things differently
 
pemba mnazi kigamboni sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…