Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ule msala ulioniachia ndio kama huo mkuu,mtu anakuja kihivyo mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna wanaume pia wanapenda kuwa submissive kwa wake zao..na wanawake kuchukua role ya wanaume kwa kuwa more controlling...there's someone for every one...its just a matter of knowing who you are and what/how to get..what you want
Its like a plug and holes. Wote ME na KE tuna version za Plug na Holes.

Kuna nyumba mama akisema "NO" ni hakuna kitu inafanyika hapo, ila akisema "YES" baba mipunga inamtoka tu.
 
Mmekuwa mafurushi hivyo inabidi tuchukue hatam ili kuokoa jahazi.
 
Ule msala ulioniachia ndio kama huo mkuu,mtu anakuja kihivyo mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ha haaa...kwa kesi yako mkuu ingawa inafanana na tunachojadili hapa,lakini ya kwako ina mchango wako mkubwa sana! Bado tuna tatizo moja kwenye jamii yetu,bado tunaamini mwanaume kukubali makosa yake mbele ya mkewe ni UDHAIFU! Hii siyo sawa mkuu. Huwa tunajadili hapa mara nyingi,ni kweli wanaume wengi wanachepuka,lakini kuchepuka ambako kunadhalilisha hadi mkeo hiyo siyo sawa..!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]we nipe moyo tu wakati najua kabisa unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa
kwanini unakosa amani sasa mamii, maisha ndio haya haya tuyafurahie. What happens in Vegas stays in Vegas.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]we nipe moyo tu wakati najua kabisa unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa
hahaha hamna mamii, we ukosafi mi nilishakuelewa toka kitambo. Just enjoy what life brings to you. Usiitaabishe nafsi furahi tu maana ni bure kufurahi
 
Ni kweli kwenye ndoa nyingi sana sababu za mwanamke kutaka kutawala ni kwa sababu ya kufanya majukumu ya mwanaume
 
Biblia iliyoletwa na hao hao westerners au ipo nyingine ?
 
Wanawake huwa hawapendi kuwa juu ya wanaume,Ila wanawake wote huwa na asili ya kujaribu kuwa juu ya wanaume,Mwanamke akijaribu mbinu za kutaka kuwa juu yako zikashindikana,Heshima huanzia hapo,Ila endapo akijaribu mbinu za kutaka kuwa juu yako na uka elekea,Basi dharau na kukuendesha huanzia hapo,Ndo mana baadhi ya wanawake huwadharau wale wanaume wanao ombwa pesa kirahis na wakatoa.
 
Kwaiyo kuna kunakuchepuka ambako hakumdhalikishi mke ni kupi huko mkuu.
 
Biblia iliyoletwa na hao hao westerners au ipo nyingine ?
Biblia hikuletwa na westeners wala mdudu wa westeners 7bu inakuwaje Maandishi yaanzishwe Egypt afu wengine ndiyo walete Biblia?

Mungu ndiye aliyeleta Biblia kupitia Roho Mtakatifu akiwafunulia Manabii maono.
 
Mwanaume kukubali kutawaliwa na mwanamke ni uzembe ata km anakuzidi uchumi unajikosea sana!! FIKRA ZA WAKURYA ZIDUMU MILELE.
 
Ukiona ivyo ujue iyo ni dalili ya kutokujiamini
 
Mwanamke anendeshwa na hisia lzm kama mume uwe na uwezo wa kuzidhibiti
 


Hata Hawa alimshawishi Adam na mwishowe wakala tunda lililokatazwa, na mambo yote yalianzia hapo, --- wewe uachezea mademu!!.😁
 
Ni sawa mkuu. Mwanaume mpaka kufikia kuchepuka ujue amekosa mengi huko ndani kwake. Yaani muda mwingine mwanaume anajaribu kujenga,lakini mwanamke ndani ya nyumba kila wakati amenuna na kuanzisha mambo ya kukorofishana tu. Muda wote yeye ni kuona yeye tu yuko sahihi. Mkitibuana inaweza kwenda hata miezi mi3 amenuna,hapo si anakuwa ameanzisha wazo mbadala?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…