Mbona unaanza kubadili gia hewani 🤣🤣🤣mie sijasema napesa mingi, aaah, hapana, ispokua kwakusema ukweli namshukuru Mungu natosheka na anacho nijaalia kibindoni pangu,
Nafurahia kibali cha maisha anachonijaali Mungu, zawadi ya uhai na afya, bidii, maarifa, nguvu na kipato kizuri...
na huyo captain morgan ni nani na ni wawapi walau ni mjuee, ili nione jinzi ya nitume hiyo nauli
Nyie mna mchango mdogo sana kwenye pato la taifa tulieni tu.Nimesoma comments, naona watu wanasifia walevi. Kwahio sisi wakunywa mirinda twende wapi?
Mmmh Demi Acha uongoPia hawako romantic kabisa yaani
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Wanapenda kwa sababu ni rahisi kuwatoa mferejini na kuwaingiza mtaroni bila ya wao kushituka kama wamepelekwa mtaroni.
Ukweli mtupu huuKuna wanaume malaya kama wanywa pombe? Chupa mbili tatu pombe zinakimbilia kichwa cha chini kila mwanamke anaanza kuwa mzuri na wakuvutia au nasema uongo Extrovert ?
Unamdanganya nani wewe😂😂 hapo bado mnaenda kujipanga restroom kusubiri wadada waende ku susu muombe namba..Sio kwel tunaweza kunywa unavyotaka tukaenda kulala , nikaishia tu mkono juu ya tako .mda mwingne na miguu nakupandishia kabisa
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwani mi nimeomba pesa! Walaaa. Kisungura tu nataka.Nikuhonge.?! 😳
Wanawake hatujawahi kuwa na pesa
Hao ni vijna wadogo labda sie tulishatoka huko.Unamdanganya nani wewe😂😂 hapo bado mnaenda kujipanda restroom kusubiri wadada waende ku susu muombe namba..
😀 😀 😀tsaaatsaaatsaaahtsaaahhh aise....@Lamomy kumbe....Mbona unaanza kubadili gia hewani 🤣🤣🤣
Ww tuma nauli, Captain Morgani ni binamu yetu anatokea mkoani 😜
Hiyo siku nimeenda hospital asubuhi kaja mkaka ana pombe bado kichwani anaulizia PEP maana alilewa akalala na mdada mwenye ngoma😂😂si ndio ni kutomasa tu , hatuna makuu.
Kwani wamesema wanalewa mkuu🤔😀 😀 😀tsaaatsaaatsaaahtsaaahhh aise....@Lamomy kumbe....
nime google na nimemwoma huyo binamu yenu anaetokea mkoani😀 ntatuma mjienjoy nikiwafundisha...
aise kumbe nyanyi mmooeee
ineandikwa...
Waefeso 5:18 "Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe na roho."
Wewe huwa unamwagilia moyo wapi? Nataka nione kama upo tofautiHao ni vijna wadogo labda sie tulishatoka huko.
Hio swala mm sijui, siwez kujipima, ila nisingekuwa romantic wasingekuwa wana enjoy to spend time with me.Wewe upo romantic?
Sometimes wanaume tunasota sana tunatafuta hela tunadhalilika kwenye utafutaji😂😂Kuna mda unafokewa mpaka bas.....Na ukiangalia kuna watu wanakula kwa mrija kupitia ww Sasa ya nn ujibane kama starehe yangu ni kupiga miti natumia Hela kupiga miti, kama ni mpira au pombe nalipuka bila kusahau kuna mambo ya msingiKwamba piga bia ukinunua bati likija kukukata je[emoji12][emoji12][emoji12].
Sure😁😁Sometimes wanaume tunasota sana tunatafuta hela tunadhalilika kwenye utafutaji😂😂Kuna mda unafokewa mpaka bas.....Na ukiangalia kuna watu wanakula kwa mrija kupitia ww Sasa ya nn ujibane kama starehe yangu ni kupiga miti natumia Hela kupiga miti, kama ni mpira au pombe nalipuka bila kusahau kuna mambo ya msingi
Upo sahihi.Hio swala mm sijui, siwez kujipima, ila nisingekuwa romantic wasingekuwa wana enjoy to spend time with me.
Walevi sio romantic, pombe inaondoa aibu tuu kwa muda kwaio anaongea chochote kinachokuja akilini, swali ni je, akiwa sober(normal) bado yuko romantic??
Kama mwanaume yuko romantic bila pombe>>>>>>>kuliko mwanaume anayehitaji pombe kuwa romantic
sifahamu,Kwani wamesema wanalewa mkuu🤔
Mkuu,Nimesoma comments, naona watu wanasifia walevi. Kwahio sisi wakunywa mirinda twende wapi?