Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Blessa mzee, Mwisho wa siku tutaona uhakika wa kipato na pombe kipi kina nguvu endelea kufuata akili za wanawake... Big Time✌️
 
pole sana aise,
pole wapitiao masahibu haya muda huu....
 
pole sana aise,
pole wapitiao masahibu haya muda huu....
Tena bora huku mijini
Ila huko vijijn acha kabsa
Watoto tuliokulia tunaona mama anapigwa baba home anapotea hata siku mbili yupo kwenye pombe, mama yupo radhi asile ila anafanya kazi anahakikisha tunakula,
Ile kitu mpaka nakua imeniathiri yaani mzee wangu huwa naongea nae basi tu sijsikii kabisa, ila nishamsamehe ila kukaa naye kuongea never halizid lisaa sababu ya mateso tuliyoyaona mama anapitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…