Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Wasalaam
Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
for sure wanawake wengi mno naweza kusema asilimia90, wana hamu sana na wanahitaji kutongozwa....

mlevi akishatoa lock na kisungura au nyagi anakua jasiri sana, haogopi kutongoza pisi ata iwe kali namna gani,

matoke yake sasa,
akitupa ndoanao tu kwa pisi ilovirugwa na mnywa kahawa na wanyanyua vyuma wasio na pimzi ni chap mara moja direct mpaka lodge muda huo huo πŸ˜€
 
Na ndo anaenda kuibiwa sasa 🀣🀣🀣
 
Tunataka wanaogonga vitu vikali ila hawatetereki .
Hahahahahaha sasa hao,wabobevu,si hasira zikipanda atakunyanyua na mkono mmoja! Maana anakuwa kila kitu anakitambua.
Au ajifanye amelewa, umwambie silali nasepa zangu. Ndo utajua kagonga kweli au kaigiza.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…