Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

Kwamba ukiwa Usalama unaweza kuwa na namba zote na Kufanya kila kitu
 
Ukionana nae tena muulize je, hana Namba yangu GENTAMYCINE anayesomwa mno na Rais Samia na Kucheka hapa JamiiForums?
 
Wanakaa kitahadhari sana na mfano kwenye mabasi haya ya masafa marefu hutoka from no where na kusema kila mtu aoneshe kitambulisho

Ilishanitokea once hii incidence
Kwanini huamuru watu waoneshe vitambulisho?! ๐Ÿค”
 
Kwamba ukiwa Usalama unaweza kuwa na namba zote na Kufanya kila kitu
Yaani connection yake ni kubwa sana ndio maana nimesema tunahisi kama ni usalama sijasema yeye ni usalama.
 
Ukionana nae tena muulize je, hana Namba yangu GENTAMYCINE anayesomwa mno na Rais Samia na Kucheka hapa JamiiForums?
Hawezi kosa yule jamaa kwanza safari kwake haziishi.
 
ukishaanza kuhisi tu basi ujue ushafeli๐Ÿ˜Š

TISS hata kumhisi huwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ