Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

Kuna muda humu ndani unakutana na jamaa
Bila kusoma vizuri ana comment kwenye thread mbaya Zaid anakuta ana ku provoke....
Unamwambia kistaarabu soma vizuri thread
Anakutolea maneno ya maudhi na shombo balaa
Mpk unaweza kujiuliza Huyu mtu hanijui simjui mbona anani fanyia hivi..
Inanitajika busara na hekima plus uvumilivu otherwise
Ndio maana mtu kama JPM alikuaga sio mstahimilivu na mvumilivu kwenye minyukano ya hoja
 
Nilisimamia kazi maeneo ya ofsi zao sasa mlinzi wao akaja naye kucheki kuchunguliachungulia eneo la kazi tulikaa naye zaidi ya masaa mawili nikasema hii sura naikariri nikionana naye mtaani tujuane chakushangaza nilipotoka pale na sura yake ikapotea hata nikikutana naye siwezi kumjua.
 
Yaani connection yake ni kubwa sana ndio maana nimesema tunahisi kama ni usalama sijasema yeye ni usalama.
Kuna wengine ni wapuuzi tu.

Hapa nilipo Kuna mjinga Kama huyo, anajifanya TISS yeye akiamka anaenda Kuzurula ofisi ya DC akienda mgeni anajifanya kumwambia DC Yuko busy, ilimradi kujiongeza ongeza ila jamaa ni tapeli tapeli tu.

Sometimes anaweza kupanda gari tu kwenda sehemu bila issue yoyote, anadanganya anaenda kuonana na watu wa Rais😅
 
Mbweni au Makumbusho?
 
Mkoa gani
 
Mkuu yaani Nimecheka mpaka basi!!!
 
🤣🤣🤣 yangu anayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…