Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

Kwel kabisa kam hupendi fujo za dar jenga kigamboni
 
maendeleo ni namba E
 
1.Kigamboni ndiyo wilaya kubwa kuliko zote
2.Ndiyo Wilaya iliyo pangwa kuliko zote.
3.Kigamboni ndiyo inayojitoshereza kwa huduma ya maji.Serikali wamejenga mavisima makubwa sana.
4.Kigamboni haina vichochoro.
5.Kuna eneo kubwa la Viwanda
6.Ina hospitali ya Wilaya
7.Ina Polisi wilaya
8.Miradi mikubwa ya ujenzi wa apartments
9.Ina fukwe safi kuliko zote Dar.
10.Ina sehemu za starehe za kutosha
11.Ina maeneo ya stendi ya kutosha
12.Ina Mitandao ya barabara inayoendelea kuongezeka kila siku.
13.Ina huduma za kibenki.
14.Ina chuo Kikukuu


Kwani maendeleo kwako unapima kwa kuangalia kipi.
 
Ila huduma za afya bado hazijawa na ubora ule unaohitajika.
 
Yani umeongea point...
 
Avic bei kaka nyumba ya chini 250 milioni.
Pia wabongo ama wakazi wa Kigamboni wanapenda maisha ya kienyeji yani mtu ananunua liwanja likubwa anajenga na kufuga na kulima bustani humo humo.
Avic huwezi kufanya hivyo kaka.
Hapa nimekuelewa sana Kaka
Ni kweli hata mimi ningependa kufanya nachotaka kwenye nyumba yangu
 
Daresalaam estate housing projects..nyingi ziko Kigamboni kuliko wilaya yeyote Ile Dar..
Watumishi housing
Avic town..
South beach geza
South beach Kisota
Nssf Mwongozo
Nssf kijichi
NHC kibada
NHC mwongozo
Hamidu city mikwambe...

Halafu mtu anasema Kigamboni haipigi maendeleo kisa hakuna bar nyingi kama Sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…