Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

Chadema mlishafurushwa na Shujaa Maguful mmerudi tena kwa kichaka cha Maridhiano kupitia kwa Zitto kabwe na bado mnaendelea kula za uso kupitia Tozo

Ndiyo nakuuliza tujinyonge kama Mkwawa?

Navalonge swela!
 
Chadema mlishafurushwa na Shujaa Maguful mmerudi tena kwa kichaka cha Maridhiano kupitia kwa Zitto kabwe na bado mnaendelea kula za uso kupitia Tozo

Ndiyo nakuuliza tujinyonge kama Mkwawa?

Navalonge swela!
Hivi Chadema waliwahi kukukaza au unasumbuliwa na tatizo gani?

Chadema imeingiaje hapa kwenye thread hii!? Au unanitafutia ban kinguvu kibaraka wewe?

Mbwa kabisa.
 
Kwa kweli they need to think about it.
Kodi na mitozo hii hatuwezi
 
Kwenye hizi Id zetu feki uwezekano wa hili vuguvugu kufanikiwa ni mdogo. Tujitokeze hadharani maana hatuna tena cha kupoteza.
 
Kwenye hizi Id zetu feki uwezekano wa hili vuguvugu kufanikiwa ni mdogo. Tujitokeze hadharani maana hatuna tena cha kupoteza.
Hii ndio njia bora kabisa ya kufanya vuguvugu la ukweli litakaloleta matokeo chanya.

Madhara ya kujulikana vinara kuna manunuzi na kulambishana asali kunaweza kufanywa na mkasambaratika au kuwekewa double agent.
Nawajuwa vizuri hawa jamaa mbinu wanazotumia kuhujumu movement, ni divide and rule, ukikataa kuwasaliti wananchi Kwa kulambishwa asali wanakueliminate kama walivyomfanyia Dr Ulimboka.

Maandamano ya kiraia yanapaswa kuratibiwa Kwa style ya oparesheni Dundula, ni audio clip na social networks.
 

Hakuna ishu ya usaliti

Tunazungumza ukweli, msemaji wa serikali ameshasema atatolea maelekezo ishu mzima

So tusubiri serikali iseme

Inchi zote duniani zinalipa Kodi, hakuna maendeleo bila kodi
 
Mkuu mbona unaanza kuingiza itikadi ya vyama hivi hujamuelewa mtoa mada
Sijaingiza itikadi hapo, matumizi yangu ya hayo majina kwako ndio umeyatazama kwa muono wa kiitikadi, kwangu mimi hayo majina ndio yanastahili kuwepo hapo, au kama wewe una majina mengine toka CCM au penginepo tuwekee hapa tuyaone kama yatastahili kuwepo.
 
Sasa nakaribisha maoni na ushauri namna ya kuratibu maandamano nchi nzima kupinga maisha magumu, hili linawezekana timiza wajibu wako, hili vuguvugu likipamba moto na wakaona tupo serious watarekebisha tatizo kabla ya maandamano makubwa nchi nzima[emoji2827][emoji2827][emoji2827]

MAONI YANGU
Bado tuna safari ndefu kufikia UTHUBUTU wa kuandamana.. Wananchi wana ganzi kubwa ya kuingia mtaani.. Tunaweza kulaumiana sisi wenyewe lakini tusisahau yale makafara hasa lile la kukimbiza moto.. Ni kafara baya sana lile halafu linafuatiwa na la Tanganyika then Lindi. Yaani walihakikisha wana cover kote
 
Tozo sio kodi mwehu wewe,
Hakuna ishu ya usaliti

Tunazungumza ukweli, msemaji wa serikali ameshasema atatolea maelekezo ishu mzima

So tusubiri serikali iseme

Inchi zote duniani zinalipa Kodi, hakuna maendeleo bila kodi
o
 
Tulijaribu hapo nyuma kuona namna salama ya kutengua hizo kafara tulikuwa kikundi cha watu saba hivi, tukaanza mchakato tukawatafuta wazee wenye kujua hili tangu asili yake.. Tulichokutana nacho ni kukatishwa tamaa kwa kiwango cha kutisha mno.. Na tusingeweza wwnyewe kwenda front bila msaada wao.. Niseme tu kwamba hizi kafara zinaishi na bado zina nguvu sana kwakuwa zinahudumiwa vizuri sana...!
Niandikapo haya wenzetu watatu wameshafumba macho..[emoji24]
 
Hakuna ishu ya usaliti

Tunazungumza ukweli, msemaji wa serikali ameshasema atatolea maelekezo ishu mzima

So tusubiri serikali iseme

Inchi zote duniani zinalipa Kodi, hakuna maendeleo bila kodi
Halafu huyo Msigwa akishaongea ndio anapooza ukali wa maisha?

Hivi una familia kuna watu wanakuita baba kabisa?

Wewe ni hasara Kwa familia yako, hakuna ufafanuzi utakaoondowa ukali wa maisha, tunataza tozo zifutwe Mara moja na mfumuko wa Bei udhibitiwe bei za bidhaa zishuke.

Namna pekee ya kushusha bei ya bidhaa ni kudhibiti bei ya petrol na diesel hawa ndio wachawi wa mfumuko wa bei.
 

Acha kulalamika
Lete solutions ya kushusha bei ya mafuta

Lete fact, tatizo ni unavyojiona unaweza kuendesha family yako ya watu sita unataka kuchanganya na kuendesha serikali
 
This time mkiingia barabarani tutayalinda maandamano yenu na siyo kuyatawanya maana hali ni mbaya sana.
Kwa mara ya kwanza naichkia serikali iliyopo madarakani kupita kiasi[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Ndio maana nchi haibarikiwi kwa sababu ya kuongozwa kishirikina, hapo tuna bahari na madini, ingekuwaje tusingekuwa na bahari?
 
Nyamlunda?
 
Lete solutions ya kushusha bei ya mafuta

Lete fact, tatizo ni unavyojiona unaweza kuendesha family yako ya watu sita unataka kuchanganya na kuendesha serikali
Bei imeshashuka kule yanapotoka jinga kabisa wewe.
 
Hakuna mwanasiasa ambaye Unaweza kumtaja wote hao hawastahili ndio maana sasa hivi wanalamba asali iwe ccm au chadema ukombozi kamili unakuja wewe binafsi ukiamua, usidanganyike na wanasiasa siku zote Wanasiasa wanatumia matatizo ya wananchi kupata madaraka lakini wakishaingia madarakani ndio utaona rangi zao halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…