johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema mlishafurushwa na Shujaa Maguful mmerudi tena kwa kichaka cha Maridhiano kupitia kwa Zitto kabwe na bado mnaendelea kula za uso kupitia TozoWewe ni mjinga kabisa, Mkwawa alishinda vita dhidi ya Wajerumani mpaka Wajerumani wakakimbia na kurudi kwao, safari ya Pili Wajerumani ndio wakaja na Majeshi ya mamluki akiwemo baba yake mzazi Sykes Kwa kupitia Kwa Chifu wa Wasangu ambaye alimsaliti Mkwawa na kutowa ramani ya vita.
Wewe ni mnyalukolo wa wapi mjinga kabisa usiyejuwa historia iliyotukuka ya ushujaa wa Mkwawa?
Ndiyo nakuuliza tujinyonge kama Mkwawa?
Navalonge swela!